Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

1)Faida ni kama kubadilishana mawazo,ufahamu,kusaidiana kwenye matatizo na furaha.

2)Yesu wanamfahamu,wanamzungumzia kama nabii anaefuatwa na watu walioamua kumfuata ikiwemo sisi na wanatambua makanisa kama nyumba za ibada, hawana ufahamu mkubwa sababu ya imani yao ni islamic.

3)Mara zote nilizomshirikisha Mungu hakunionesha hatari katika hilo,ndio maana mara zote naamini katika mipango yake maana ukomo wetu wa kufikiri uwezo wake huanzia hapo kujiinua.

4)Sauti hata wewe unaweza kuisikia maana hutumia kinywa cha mke wangu kuzungumza na sio nasikia peke yangu.

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Asante mkuu,hili kwangu limekuwa geni sana,kuna mahali umesema ukiwapeleka kanisani wanajua kwamba huyu mtumishi mwongo na huyu mkweli wanajuaje?

Je mtumishi mwenye nguvu ya Mungu hawezi Kuwaitia moto wa roho mtakatifu wakatoweka?
 
Mtumishi muongo maana yake wanawahi kugundua hana lile analofundisha hana ile imani na nguvu ambayo ni nguvu ya Mungu, Moto huchoma waovu kamwe haudhuru walio wema haijarishi ni kitu gani matatizo mengi hushauri kukimbilia kwenye maombi, wachungaji wengi huwa ni waongo ama uwelewa mdogo wa uumbaji mfani mdogo tulipokua sehemu fulani kwetu mama yangu mdogo ni mlokole alishaenda na mke wangu kwenye maombi yao akasema mchungaji kasema mke wangu ana shida hivyo aombewe sikua na pingamizi siku husika wale viumbe ndio walikuwepo waliomba sana pale kanisani kwao hadi akadondoka alipodondoka dk kadhaa bila kuzinduka mchungaji alikacha akaacha wasaidizi wake hawaelewi alipoinuka nikawauliza vipi wakanijibu walikuwepo ila walitoka kelele zilizidi,tukaa wakamalizia maombi wasaidizi tukaondoka,nilimfata yule mchungaji kwake tulizungumza sana juu ya maswala ya Mungu nazani alipata vitu vingi vipya nami pia, mimi si mlokole lakini nikikutana na walokole wengi waliopitia vyuo vyao mara nyingi huniomba wakawatafute waliowazidi maarifa baada ya kugundua mengi wasioyajua.Nafurahi sababu huimiza sana mke wangu kwenda kwenye ibada na kufanya maombi kwa kila tatizo.

Wengi nimejibu maswali yao ila inaonyesha wewe una shauku sana ya kujua juu ya Mungu na kazi zake,utendaji wake na unapenda kujifunza, ifuate kweli na hakika itakuweka huru kama tulivyoahidiwa soma sana kitabu kitakatifu usizarau imani ya mwenzio usiabudu dini abudu Mungu utaelewa vizuri.

Anacho kisimulia jamaa ni story ya kweli kabisa mm nmeshatembea baadhi ya machimbo kule Kuna vitu vya kutsha sana, kule maiti zinapitwa kama kafa kuku tu hakuna anae jali ni unyama unyama kama hujapata nafas ya kuish mazingira ya migod ya dhahabu unaweza kudhani hizi ni strori za kusadikika , tembea uone hii dunia haipo Kama unavyoiona hii dunia ina visa zaidi ya movie unazo ziona
Similarly, kambi za wavuvi
 
Mtumishi muongo maana yake wanawahi kugundua hana lile analofundisha hana ile imani na nguvu ambayo ni nguvu ya Mungu, Moto huchoma waovu kamwe haudhuru walio wema haijarishi ni kitu gani matatizo mengi hushauri kukimbilia kwenye maombi, wachungaji wengi huwa ni waongo ama uwelewa mdogo wa uumbaji mfani mdogo tulipokua sehemu fulani kwetu mama yangu mdogo ni mlokole alishaenda na mke wangu kwenye maombi yao akasema mchungaji kasema mke wangu ana shida hivyo aombewe sikua na pingamizi siku husika wale viumbe ndio walikuwepo waliomba sana pale kanisani kwao hadi akadondoka alipodondoka dk kadhaa bila kuzinduka mchungaji alikacha akaacha wasaidizi wake hawaelewi alipoinuka nikawauliza vipi wakanijibu walikuwepo ila walitoka kelele zilizidi,tukaa wakamalizia maombi wasaidizi tukaondoka,nilimfata yule mchungaji kwake tulizungumza sana juu ya maswala ya Mungu nazani alipata vitu vingi vipya nami pia, mimi si mlokole lakini nikikutana na walokole wengi waliopitia vyuo vyao mara nyingi huniomba wakawatafute waliowazidi maarifa baada ya kugundua mengi wasioyajua.Nafurahi sababu huimiza sana mke wangu kwenda kwenye ibada na kufanya maombi kwa kila tatizo.

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Aisee dunia ina mengi sana,nashukuru kwa majibu yenye mifano,Je unapopata ufunuo ana kuongea na Mungu inakuwa kwa mfumo gani,unasikia sauti,picha au ndoto tu?

Na unatofautishaje sauti ya Mungu na ya hao 'jamaa zako'
 
Wengi nimejibu maswali yao ila inaonyesha wewe una shauku sana ya kujua juu ya Mungu na kazi zake,utendaji wake na unapenda kujifunza, ifuate kweli na hakika itakuweka huru kama tulivyoahidiwa soma sana kitabu kitakatifu usizarau imani ya mwenzio usiabudu dini abudu Mungu utaelewa vizuri.

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Ni kweli huwa napenda kuuliza ili kujua,maana suala la Mungu ni pana sana na kwa sababu ni nadharia zaidi ni majibu huwa yanatofautiana sana hata kwa watu wa imani na dehehebu moja
 
Aisee dunia ina mengi sana,nashukuru kwa majibu yenye mifano,Je unapopata ufunuo ana kuongea na Mungu inakuwa kwa mfumo gani,unasikia sauti,picha au ndoto tu?

Na unatofautishaje sauti ya Mungu na ya hao 'jamaa zako'
Huwa jambo linanijia kama ufahamu moyoni na kwenye ubongo,hao siwezi wasikia bila ya mke wangu kuzungumza na huo ufahamu ninao kabla hata ya balehe,kuna kipindi nikiwa naumwa wakati bado nasoma msingi nakumbuka hiyo siku malaria ilinipiga sana niliomba kwa hisia na nia kuwa nisije umwa tena hadi leo hii sijawahi umwa tena nashkuru Mungu, kuna vitu nikipata ufahamu najua tu nnachoamini ni sahihi hata akitokea mtu akabisha wiki mbili nyuma kuna sehemu ya biashara nilikuwepo kuna kitu kilipotea na kila mtu alisema hajui nilipowatazama nilisema wewe unajua kilipo umepeleka sehemu fulani kila alijua naongea labda kwa masihara baada ya wiki mwenzake alieshirikiana nae waligombana akasema kweli kachukua na kapeleka huko ambapo nilisema
 
nashukuru mkuu Farolito kwa kutambua uwepo..
Nimesoma tangu mwanzo wa uzi na comment zake zote 1,500+,Uzi unasisimua sana.

Niwashukuru wadau wote humu nikianza na Kitoabu ,Mbwichichi na fyddell kwa simulizi zao,hakika zina mafunzo mengi na niwape pole pia kwa waliyoyapitia katika harakati za kutafuta maisha

Pia niwashukuru wachangiaji wote kwa namna moja au nyingine waliendelea kuchangamsha Uzi kwa kuuliza maswali au kujibu hoja mbalimbali wakati wasimuliaji wakuu wakiwa wameenda kuoga na majukumu mengine[emoji3]
Hapa nitawaja Kazakh destroyer,Angel Nylon na nicksonmoses na wachangiaji wote kwa ujumla wenu.

Bila kusahau wale waliokuwa wakiamsha amsha wasimuliaji kuleta muendelezo bila kuchelewa wakiongozwa na Jimena na hata wale waliojitolea kuzama PM kuwatisha au kuwabembeleza[emoji3]kwa namna yeyote ile,juhudi zao zimezaa matunda,naomba wakaze kidogo bado fyddell tunamdai episode za mwisho.

Ahsanteni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Naunga mkono hoja zako kuwa ni kweli wapo majini wazuri wacha Mungu na wengine wabaya. Nilishapiga stori na mmoja akiwa ndani ya mwili mwa mtu aliyepandisha majini. Alikua mpole japo wenzake wawili ndio walikua waleta fujo.
Wana uwezo mkubwa sana hawa viumbe. Aliniambia mambo mengi ya ajabu kuhusu uso wa hii dunia, sisi tunaona juujuu tu.
Nakumbuka aliniambia anifunulie nione ya dunia kwa muda lakini alinipa sharti la kutokuogopa wala kushituka, kusikia hizo habari za masharti nikamwambia acha tu nibaki kujua hayahaya nayoona hayo mengine yasiyoonekana kwa macho ya nyama tuachane nayo.
mkuu hakuna jini mwema wala mpole atakayeingia kwenye mwili wa mtu.....hao ni mashetani hakuna jini hapo na ni waovu na waongo sana.....alikuona umemuelewa na kumskiliza akaamua akuingize mjini kwa malengo yake binafsi....na hakuna siri yeyote ya dunia anayoweza kukuonesha zaidi atakubadilikia awe sura ya kiumbe mwingine akutokee au akupeleke kwenye makazi yao basi....na zaidi jini wa kuja kwenye mwili wa mtu ni kibarua tu wa kutumwa kama wewe unavyoweza kumuajiri mtu apalilie bustani ya nyumbani kwako.....sasa imagine mpalilia bustani akuoneshe siri za nchi sembuse dunia..
 
Huwa jambo linanijia kama ufahamu moyoni na kwenye ubongo,hao siwezi wasikia bila ya mke wangu kuzungumza na huo ufahamu ninao kabla hata ya balehe,kuna kipindi nikiwa naumwa wakati bado nasoma msingi nakumbuka hiyo siku malaria ilinipiga sana niliomba kwa hisia na nia kuwa nisije umwa tena hadi leo hii sijawahi umwa tena nashkuru Mungu,kuna vitu nikipata ufahamu najua tu nnachoamini ni sahihi hata akitokea mtu akabisha wiki mbili nyuma kuna sehemu ya biashara nilikuwepo kuna kitu kilipotea na kila mtu alisema hajui nilipowatazama nilisema wewe unajua kilipo umepeleka sehemu fulani kila alijua naongea labda kwa masihara baada ya wiki mwenzake alieshirikiana nae waligombana akasema kweli kachukua na kapeleka huko ambapo nilisema

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Aisee,hongera
 
mkuu hakuna jini mwema wala mpole atakayeingia kwenye mwili wa mtu.....hao ni mashetani hakuna jini hapo na ni waovu na waongo sana.....alikuona umemuelewa na kumskiliza akaamua akuingize mjini kwa malengo yake binafsi....na hakuna siri yeyote ya dunia anayoweza kukuonesha zaidi atakubadilikia awe sura ya kiumbe mwingine akutokee au akupeleke kwenye makazi yao basi....na zaidi jini wa kuja kwenye mwili wa mtu ni kibarua tu wa kutumwa kama wewe unavyoweza kumuajiri mtu apalilie bustani ya nyumbani kwako.....sasa imagine mpalilia bustani akuoneshe siri za nchi sembuse dunia..
[emoji23][emoji23],eti mpalilia bustani amuonyeshe siri za nchi
 
Ah! sasa unazani tatizo litakuwa wapi? Utamkuta kwenye kila nyusi anazunguka, hadi kwenye hii yenyewe full kuchangia kana kwamba amesahau kuwa kuwa watu tunamsubiri..
Huyu itakuwa kapigwa mkwara mzito, kuzungumzia hii stori yake, ndo mana anakazi ya kuruka ruka comment za wadau wanapomuita kama hazioni.. na kama sio kweli then fyddell come and prove me wrong..
hahaahaha wewe...
 
hahaha umetisha Msichana wa jana ila mimi nililigusia hilo huko nyuma huenda yule kamanda amemwambia acha kabisa hiyo habari vinginevyo utastuka usiku nimelala pembeni yako ndevu zinakugusa usoni mubashara.....design kama mzee wa kiarabu anajificha baridi kifuani kwa fyddell
 
Back
Top Bottom