Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

mkuu hakuna jini mwema wala mpole atakayeingia kwenye mwili wa mtu.....hao ni mashetani hakuna jini hapo na ni waovu na waongo sana.....alikuona umemuelewa na kumskiliza akaamua akuingize mjini kwa malengo yake binafsi....na hakuna siri yeyote ya dunia anayoweza kukuonesha zaidi atakubadilikia awe sura ya kiumbe mwingine akutokee au akupeleke kwenye makazi yao basi....na zaidi jini wa kuja kwenye mwili wa mtu ni kibarua tu wa kutumwa kama wewe unavyoweza kumuajiri mtu apalilie bustani ya nyumbani kwako.....sasa imagine mpalilia bustani akuoneshe siri za nchi sembuse dunia..
Hapo nimekuelewa, kweli ni wasanii.
Ngoja huyo aendelee kuyafuga kwa mkewe na umemuonya naona hakuelewi.
 
Hapo nimekuelewa, kweli ni wasanii.
Ngoja huyo aendelee kuyafuga kwa mkewe na umemuonya naona hakuelewi.
mkuu wewe muangalie mama mjamzito ana kiumbe kama yeye tumboni tena mdogo sana kilo 2-4 wastani....lakini tabu anayopata unaona?!...
na hapo ni miezi 9 tu....sasa imagine likiumbe la kutisha sura ya ajabu + mapembe n.k likae ndani ya binadamu tena kiuchawi na kwa kutembea kwenye mishipa yake ya damu....anamzuia na kufanya mambo mazuri wanazuga et hawaelewi maisha yanavyoenda....na mkuu hapo juu asichojua majini wana imani tofauti kama wanadamu....kuna waislamu, wakristo, mabudha, wapagani n.k n.k na zaidi sisi hatufungamani nao kwa chochote maana wao wana maisha yao na sisi tuna ya kwetu....isipokuwa mashetani wako active zaidi wakati wa usiku na ndio maana ule muda jua limezama tu watoto wote wanapaswa kuingia ndani, vyombo vya maji vifunikwe na milango ifungwe kwani ni muda wa jamaa kutawanyika na kuingia mzigoni.....mpaka kipindi kile cha wekundu wa anga kipite ndio mambo mengine yaendelee..
 
Naunga mkono hoja zako kuwa ni kweli wapo majini wazuri wacha Mungu na wengine wabaya. Nilishapiga stori na mmoja akiwa ndani ya mwili mwa mtu aliyepandisha majini. Alikua mpole japo wenzake wawili ndio walikua waleta fujo.
Wana uwezo mkubwa sana hawa viumbe. Aliniambia mambo mengi ya ajabu kuhusu uso wa hii dunia, sisi tunaona juujuu tu.
Nakumbuka aliniambia anifunulie nione ya dunia kwa muda lakini alinipa sharti la kutokuogopa wala kushituka, kusikia hizo habari za masharti nikamwambia acha tu nibaki kujua hayahaya nayoona hayo mengine yasiyoonekana kwa macho ya nyama tuachane nayo.
Ni hivi binadamu au mtu ni hatari kuliko hao majini,nilishakutana na kesi kadhaa pia za watu kusumbuliwa na hivyo vitu wengine ni asili yao wengine hukamatwa na kushurutishwa kufanya mambo ambayo ni kinyume na imani na maadili yake kwa faida ya yule anaejua au mwenye uwezo wa kuita hivyo viumbe na kuviamrisha(Shuruti),hapo moja kwa moja hata mzani wa haki humtambua yule mtumaji ndio muovu mkuu(Binadamu au Mtu),heri ukutane na mnyama pori kuliko binadamu,mtu asiye na utu muda mwingine huruma yao ndio huwapelekea kufanya ambayo wengi huisi uonevu au hatia lakini nahakika njia zetu si sawa na za Muumba sioni kosa yeye kutumia viumbe vyake kulinda viumbe dhaifu,mfano hawa waliokuja kwenye familia yangu baada ya huruma ya huyo mmoja wao mdogo kuona mateso anayopitia mke wangu pindi ya matatizo yake ya muda mrefu toka anasoma secondary hadi mimi kuhangaika nae miaka miwili bila kupata suluhisho ndio ikamlazimu kutoa msaada na hawakuwahi kushirikiana na binadamu kabla.Hata wao huwaogopa sana watu,binadamu wenye uwezo wa kuwakamata na kuwabadili kutenda maovu kwa faida zao.

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
 
mkuu wewe muangalie mama mjamzito ana kiumbe kama yeye tumboni tena mdogo sana kilo 2-4 wastani....lakini tabu anayopata unaona?!...
na hapo ni miezi 9 tu....sasa imagine likiumbe la kutisha sura ya ajabu + mapembe n.k likae ndani ya binadamu tena kiuchawi na kwa kutembea kwenye mishipa yake ya damu....anamzuia na kufanya mambo mazuri wanazuga et hawaelewi maisha yanavyoenda....na mkuu hapo juu asichojua majini wana imani tofauti kama wanadamu....kuna waislamu, wakristo, mabudha, wapagani n.k n.k na zaidi sisi hatufungamani nao kwa chochote maana wao wana maisha yao na sisi tuna ya kwetu....isipokuwa mashetani wako active zaidi wakati wa usiku na ndio maana ule muda jua limezama tu watoto wote wanapaswa kuingia ndani, vyombo vya maji vifunikwe na milango ifungwe kwani ni muda wa jamaa kutawanyika na kuingia mzigoni.....mpaka kipindi kile cha wekundu wa anga kipite ndio mambo mengine yaendelee..
Aisee....wengine tunaacha wazi vyombo vya maji sababu ya wezi wakipuliza dawa isitupate.
 
Aisee....wengine tunaacha wazi vyombo vya maji sababu ya wezi wakipuliza dawa isitupate.
huo muda niliousema mkuu ni pale tu jua linapomalizika kuzama mpaka giza rasmi liingie ndo kipindi kimepita....lakini issue ya kufunika vyombo iko wazi maana maradhi yanateremka usiku inashauriwa kufunika vyombo.....kwa case ya kuzuia dawa za usingizi weka chombo specific kwaajili hiyo..
 
Tatizo mgodini watu tanageana imani (kwa story ama kuona) kua tutavunja pesa nyingi.

Mfano, mwezi ulio pita kuna dogo wa kisuma alipata gram 4 point 7 Ruby, yeye na wenzie lakini aliwakaanga wenzie (kuwatoroka)

Dini lile limeuzwa 200,000 dollars.

Yeye kama mchimbaji katoka na Dollar 165,000 huku madalali wakiondoka na Dollar 35,000.

Sasa 200,000 ( laki mbili ) kwa sasa kibongo bongo tunazungumzia Milioni mianne na uchafu.

Unadhani nani atakae rudi nyumbani hapo?
Hapo ndio kwanza umemuongezea hasira mponcha.

Chengine, wachimbaji tushazoea matumizi, sasa bila kua na pesa si tutawaibieni ndugu zetu mutuue bule ama mutufunge jela.

Sasa si bora jela hii niliyo ichagua mwenyewe!?
Mfano mimi bila 50,000 dollars, bongo muni sameh tu, tena ukizingatia ndugu walisha nikalia matanga!
Ndugu wameshakukalia matanga,duuuu
 
huo muda niliousema mkuu ni pale tu jua linapomalizika kuzama mpaka giza rasmi liingie ndo kipindi kimepita....lakini issue ya kufunika vyombo iko wazi maana maradhi yanateremka usiku inashauriwa kufunika vyombo.....kwa case ya kuzuia dawa za usingizi weka chombo specific kwaajili hiyo..
Ok....asante
 
Sawa boss a nasubiria
Nitawatag wote waliopita kwenye huu uzi. Kuanzia leo naanza kujiandaa alafu nitautuma wote kwa pamoja bila like kipengele kinachochukiwa na wengi cha "ITAENDELEA"😆😆

Imeandikwa katika Biblia Kitabu cha Hosea 4:11 "Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu."

Ndugu unayesoma ujumbe huu nakuomba ikimbie dhambi ya uzinzi/Uasherati, pamoja na Ulevi (divai) jitenge mbali na dhambi hiyo na usifanye dhambi hiyo tena.
Mpokee YESU KRISTO Mwokozi kwa upya, utubu na utengeneze na MUNGU
Amen
 
Back
Top Bottom