Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Yaani hii habari nilitaka niifuatilie nimeshindwa...kutoka part moja hadi nyingine ni parefu sana na post zilivyo nyingi sasa
Pole, huu uzi kama umechelewa usiwe na haraka nenda nao mdogo mdogo.
 
KUMEKUCHA, mwenye kusikia na asikie
 
Mkunazi ndo mti gani mkuu
 
Duu ebana hongera sana, yani nafikiria huko unamwaka na kitu hivi, tayari umeanza kuchagua sehem ya kuishi!!!?
 
Kaka nimekupm,nipo mahenge moro hapa
 
Ila WeWe Kaka unaongea vitu havieleweki!mara unasali Sana mara unafuga mashetani ulisikia wapi mafuta na maji vinachangamana?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo nimefurahi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikua nafuatilia stori kama tatu za kufanana mpaka nachanganya

Ya kitoabu, Fyddell, Mbwichichi na Chizi Maarifa
Ukiwa makini utazijua zote na ipi inamuhusu yupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…