Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Hapo nimekuelewa, kweli ni wasanii.
Ngoja huyo aendelee kuyafuga kwa mkewe na umemuonya naona hakuelewi.
 
Hapo nimekuelewa, kweli ni wasanii.
Ngoja huyo aendelee kuyafuga kwa mkewe na umemuonya naona hakuelewi.
mkuu wewe muangalie mama mjamzito ana kiumbe kama yeye tumboni tena mdogo sana kilo 2-4 wastani....lakini tabu anayopata unaona?!...
na hapo ni miezi 9 tu....sasa imagine likiumbe la kutisha sura ya ajabu + mapembe n.k likae ndani ya binadamu tena kiuchawi na kwa kutembea kwenye mishipa yake ya damu....anamzuia na kufanya mambo mazuri wanazuga et hawaelewi maisha yanavyoenda....na mkuu hapo juu asichojua majini wana imani tofauti kama wanadamu....kuna waislamu, wakristo, mabudha, wapagani n.k n.k na zaidi sisi hatufungamani nao kwa chochote maana wao wana maisha yao na sisi tuna ya kwetu....isipokuwa mashetani wako active zaidi wakati wa usiku na ndio maana ule muda jua limezama tu watoto wote wanapaswa kuingia ndani, vyombo vya maji vifunikwe na milango ifungwe kwani ni muda wa jamaa kutawanyika na kuingia mzigoni.....mpaka kipindi kile cha wekundu wa anga kipite ndio mambo mengine yaendelee..
 
Ni hivi binadamu au mtu ni hatari kuliko hao majini,nilishakutana na kesi kadhaa pia za watu kusumbuliwa na hivyo vitu wengine ni asili yao wengine hukamatwa na kushurutishwa kufanya mambo ambayo ni kinyume na imani na maadili yake kwa faida ya yule anaejua au mwenye uwezo wa kuita hivyo viumbe na kuviamrisha(Shuruti),hapo moja kwa moja hata mzani wa haki humtambua yule mtumaji ndio muovu mkuu(Binadamu au Mtu),heri ukutane na mnyama pori kuliko binadamu,mtu asiye na utu muda mwingine huruma yao ndio huwapelekea kufanya ambayo wengi huisi uonevu au hatia lakini nahakika njia zetu si sawa na za Muumba sioni kosa yeye kutumia viumbe vyake kulinda viumbe dhaifu,mfano hawa waliokuja kwenye familia yangu baada ya huruma ya huyo mmoja wao mdogo kuona mateso anayopitia mke wangu pindi ya matatizo yake ya muda mrefu toka anasoma secondary hadi mimi kuhangaika nae miaka miwili bila kupata suluhisho ndio ikamlazimu kutoa msaada na hawakuwahi kushirikiana na binadamu kabla.Hata wao huwaogopa sana watu,binadamu wenye uwezo wa kuwakamata na kuwabadili kutenda maovu kwa faida zao.

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
 
Aisee....wengine tunaacha wazi vyombo vya maji sababu ya wezi wakipuliza dawa isitupate.
 
Aisee....wengine tunaacha wazi vyombo vya maji sababu ya wezi wakipuliza dawa isitupate.
huo muda niliousema mkuu ni pale tu jua linapomalizika kuzama mpaka giza rasmi liingie ndo kipindi kimepita....lakini issue ya kufunika vyombo iko wazi maana maradhi yanateremka usiku inashauriwa kufunika vyombo.....kwa case ya kuzuia dawa za usingizi weka chombo specific kwaajili hiyo..
 
Ndugu wameshakukalia matanga,duuuu
 
Ok....asante
 
Sawa boss a nasubiria
Nitawatag wote waliopita kwenye huu uzi. Kuanzia leo naanza kujiandaa alafu nitautuma wote kwa pamoja bila like kipengele kinachochukiwa na wengi cha "ITAENDELEA"😆😆

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…