Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Wengi hapa wana stori za uongo za kusikia au kutunga wenyewe.
Kuna dada hapo nae alikuwa analala chali anashikwa na ndoto za kutisha (jinamizi) anadhani ilikuwa kweli anamuona jini anabeba mtoto wake.

Hao wengi wa majini ni wa uswahilini kwa masheikh feki wa kutoa majini.
 
Aseee huu uzi unenitesa sijaacha koment hata moja.
Asanteni wote mliochangia nimejifunza vingi sana.
Naweka kituo
 
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo jini ni muasi wa mwenyezi Mungu(nirekebishe kama nimekosea) hapo inakuaje muasi(shetani) awe na nia njema na mwanadamu aliye na rehema za mwenyez Mungu?
Pili huoni kumtumia mkeo kama medium ya mawasilioano ni kumtesa, je ulishawahi kufikiria ama kuwaomba wakuingie wewe badala ya mkeo?
Tatu kila jambo huwa na hitimisho lake je, ulishawahi fikiria mwisho wa jambo hili itakuaje?
 
Mkuu upo vizuri nakutunuku heshima
 
Wrong....Mungu aliumba viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana

Vyote vina pande mbili, nzuri na mbaya
 
Hahahah ikawaje mkuu
 
Umesema hakuna jini zuri

Kukuelewesha nikarudi nyuma kidogo
soma tena utanielewa......nimesema hakuna jini mzuri akaingia kwenye mwili wa mtu....akishaingia huyo ni shetani na ni muovu..
nikimaanisha sio katika tabia ya wema kuingia kwenye miili ya watu....
 
Kwa tafsiri hiyo madini ni mapepo, pia madini nikama kamari huwezi acha kirahisi.[emoji25]
 
nimependa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…