Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Don't work hard, work smartWork hard,pray hard,life is husstle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don't work hard, work smartWork hard,pray hard,life is husstle
Wengi hapa wana stori za uongo za kusikia au kutunga wenyewe.Msitunipo shuleni wa miti ya kupandwa na maeneo mengine yote yana mapori lakini sio mapori mazito, niliishi pale 2016 hapakuwa na stori za msitu wenye maajabu ndio maana nadhani unaouzungumzia ulifutika
Mimi nilikuwa naishi jirani kabisa na korongo ambalo ukiibuka unaibukia shule so lazima ningejua
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo jini ni muasi wa mwenyezi Mungu(nirekebishe kama nimekosea) hapo inakuaje muasi(shetani) awe na nia njema na mwanadamu aliye na rehema za mwenyez Mungu?Huwa jambo linanijia kama ufahamu moyoni na kwenye ubongo,hao siwezi wasikia bila ya mke wangu kuzungumza na huo ufahamu ninao kabla hata ya balehe,kuna kipindi nikiwa naumwa wakati bado nasoma msingi nakumbuka hiyo siku malaria ilinipiga sana niliomba kwa hisia na nia kuwa nisije umwa tena hadi leo hii sijawahi umwa tena nashkuru Mungu, kuna vitu nikipata ufahamu najua tu nnachoamini ni sahihi hata akitokea mtu akabisha wiki mbili nyuma kuna sehemu ya biashara nilikuwepo kuna kitu kilipotea na kila mtu alisema hajui nilipowatazama nilisema wewe unajua kilipo umepeleka sehemu fulani kila alijua naongea labda kwa masihara baada ya wiki mwenzake alieshirikiana nae waligombana akasema kweli kachukua na kapeleka huko ambapo nilisema
Mkuu upo vizuri nakutunuku heshimamkuu hakuna jini mwema wala mpole atakayeingia kwenye mwili wa mtu.....hao ni mashetani hakuna jini hapo na ni waovu na waongo sana.....alikuona umemuelewa na kumskiliza akaamua akuingize mjini kwa malengo yake binafsi....na hakuna siri yeyote ya dunia anayoweza kukuonesha zaidi atakubadilikia awe sura ya kiumbe mwingine akutokee au akupeleke kwenye makazi yao basi....na zaidi jini wa kuja kwenye mwili wa mtu ni kibarua tu wa kutumwa kama wewe unavyoweza kumuajiri mtu apalilie bustani ya nyumbani kwako.....sasa imagine mpalilia bustani akuoneshe siri za nchi sembuse dunia..
nashukuru mkuu..Mkuu upo vizuri nakutunuku heshima
Wrong....Mungu aliumba viumbe vinavyoonekana na visivyoonekanamkuu hakuna jini mwema wala mpole atakayeingia kwenye mwili wa mtu.....hao ni mashetani hakuna jini hapo na ni waovu na waongo sana.....alikuona umemuelewa na kumskiliza akaamua akuingize mjini kwa malengo yake binafsi....na hakuna siri yeyote ya dunia anayoweza kukuonesha zaidi atakubadilikia awe sura ya kiumbe mwingine akutokee au akupeleke kwenye makazi yao basi....na zaidi jini wa kuja kwenye mwili wa mtu ni kibarua tu wa kutumwa kama wewe unavyoweza kumuajiri mtu apalilie bustani ya nyumbani kwako.....sasa imagine mpalilia bustani akuoneshe siri za nchi sembuse dunia..
Wrong....Mungu aliumba viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana
Vyote vina pande mbili, nzuri na mbaya
kwani mimi nimesema ameumba vinavyoonekana pekee?!..Wrong....Mungu aliumba viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana
Vyote vina pande mbili, nzuri na mbaya
Hahahah ikawaje mkuuwilaya ya makete, kata ya matamba, kuna poli pale katika shule ya sekondali ITAMBA linaitwa kisulike, kuna mzungu alikuwa mbishi aliingia na farasi hakutoka mpaka leo
ilo poli ukingia utoki unabaki humo humo ,kuna siku bange zetu zikatutuma tuingie humo ,si unajua watoto wa dar tunaosoma mkoa, tunakua viburi
Umesema hakuna jini zurikwani mimi nimesema ameumba vinavyoonekana pekee?!..
soma tena utanielewa......nimesema hakuna jini mzuri akaingia kwenye mwili wa mtu....akishaingia huyo ni shetani na ni muovu..Umesema hakuna jini zuri
Kukuelewesha nikarudi nyuma kidogo
Huo uzi uko wapi...?!Excuse yake nyingine ni simu, maswali hakiwa mengi haionyeshi, na hata ukirudia anakuwa halioni hilo swali[emoji2]
Ngoja nikutagHuo uzi uko wapi...?!
Wadau wa adventure wametulia kama hawamo au kuna uzi mwingine wa mwendelezo manake tulikuwa tunajifunza sana kupitia story za wadau.
Watu kama hawa ndio wanaochangia wasimuliaji wengu kuacha njiani story zaoHii ni kauli mbaya sana!
Usiongee/usiandike kitu ambacho huna uhakika nacho.
Wewe unaingia kwenye kundi la kumkatisha tamaa msimulizi.
Heshimu hisia za msimuliaji basi.
Kwa tafsiri hiyo madini ni mapepo, pia madini nikama kamari huwezi acha kirahisi.[emoji25]Mkuu hii ni dunia nyingine.
Mara kibao nimejaribu kufanya hivyo lakini nashindwa.
Nikikaa home mwezi tu, nayamiss haya maisha.
Kuna kipindi najiuliza (hasa nikiwa kwenye hali mbaya) hivi nimezaliwa kuishi maporini?
Maana mifano naiona, wapo wazee tunachimba nao.
Mzee anakuhadithia machimbo miaka ya 1980 huko, yani hata sijazaliwa.
Kuna mzee alifuatwa na mwanae arudi home (mwanae ni mkubwa na ana pesa) mzee alikataa kata kata, mpaka yule mtoto akawaomba wazee wenzie (nao ni wachimbaji) wamshauri mzee akubali kurudi home, na mpaka sasa mzee tunae Migodini, sijui yuko poli gani.
nimependaKwanza walikua wageni hawajawahi kushirikiana na wanadamu,walikuja kunisaidia tatizo la mke wangu liliisha baada ya kusumbuka sana kwa wataalamu mbali mbali na watu wa dini bila mafanikio,baada ya tatizo kuisha tukawa kama marafiki tu wanapenda kula vyakula ambavyo ni vya kawaida soda,biskuit,wali,ugali nk hawajawahi kuhitaji manukato wala kuhitaji chochote niwape,pia huwa nakauli kwao hii ndio inayofanya watu washangae utofauti huo kwani wakifanya jambo sijaliafiki nnauwezo wa kuwakosoa na wakaomba radhi na wao pia nikiwakosea huwa nawaomba radhi nimewafundisha vitu vingi pesa za huku hii sh hii na hii ni hii,kutumia simu kucheza games nk na upandaji wao mwanzo ilikua tabu kwa mke wangu maana atadondoka anachoka sana baadae wakafanyaje ila imekua tu nikiita kwa jina tu anakuja bila kudondoka au kuonyesha dalili yoyote hata tuwe kwa watu wengi mtu hawezi jua kwa wakati huo siongei na mke wangu yanafikirisha sana,sisi christian wao islamic hawajawahi kumzuia ibada mke wangu yoyote sana sana wao huwa wananikumbusha sana asiache ibada wana kipindi chao cha toba kila kikifika huwa hawafanyi lolote