Tukio la Kuungua Moto shule ya Shauritanga 18 June 1994

Tukio la Kuungua Moto shule ya Shauritanga 18 June 1994

Hao walinzi wapo jela?
walinzi akili hawana wanaweza kuacha lindo na kwenda kulala
 
Hili tukio nina ndugu yangu alikuwa form two, na alikuwa anaishi kwenye hilo bweni lililoungua, and siku ya tukio alitoroka kwenda kulala kwa mwanaume, ndo ikawa ponpona yake na shuleni hakurudi tena akaolewa na huyo jamaa.

JF bhana.😂😂😂😂😂😂
 
Aisee
 
Nakumbuka lilipotokea lilizusha hofu na taharuki kwa jamii nzima. Ilikuwa ni kipindi ambacho kulikuwa na vugu vugu la matukio mengi yakihusisha pia na maswala ya kidini ... najaribu kurejea:

*Kuchomwa kwa mabucha ya nguruwe
*Kuendelea kwa matukio kama hayo katika shule nyingine
*kupatikana kwa mabomu Mlima kilimanjaro(sijui propaganda)
Moja lilikuwa limeandikwa mistari ya biblia
"Ombeni nany mtapewa, tafteni nany...."
*milipuko ya moto mlima kilimanjaro
*vuguvugu la mihadhara ya kidini kushika kasi

Wenye kumbukumbu zaidi wanaweza leta matukio zaidi

MSRIP.. it was sad indeed
Ndo maana siku kumi baadae nilizaliwa njiti walai
 
We ni mavi,Kwa ujinga wako unataka tukujibu kuwa Rais alikuwa nani mwaka 1994...hivi ni kweli una akili mdogo Kwa kiwango hiki😄😄😄
Jf sijui inaelekea wapi!
Tungekuwa tunazungumzzia Rais wa Sierra Leone Sawa!
umekuwa magu 😏 haya peleka mavi yako hayo nyumbani kwako
 
Back
Top Bottom