Kwa niniLabda angehudhuria watu wangempopoa mawe
Lipina alikuwa mwinyi
mseme lingine
mwaka huo rais alikuwa nani mkuuLipi
Google,kama unataka Rais wa Chama Cha Mabaharia nilikuwa Mimi!mwaka huo rais alikuwa nani mkuu
we kweli usuzi π£π³ unadandia swaliGoogle,kama unataka Rais wa Chama Cha Mabaharia nilikuwa Mimi!
Hili tukio nina ndugu yangu alikuwa form two, na alikuwa anaishi kwenye hilo bweni lililoungua, and siku ya tukio alitoroka kwenda kulala kwa mwanaume, ndo ikawa ponpona yake na shuleni hakurudi tena akaolewa na huyo jamaa.
We ni mavi,Kwa ujinga wako unataka tukujibu kuwa Rais alikuwa nani mwaka 1994...hivi ni kweli una akili mdogo Kwa kiwango hikiπππwe kweli usuzi π£π³ unadandia swali
AiseeHili tukio nina ndugu yangu alikuwa form two, na alikuwa anaishi kwenye hilo bweni lililoungua, and siku ya tukio alitoroka kwenda kulala kwa mwanaume, ndo ikawa ponpona yake na shuleni hakurudi tena akaolewa na huyo jamaa.
Ndo maana siku kumi baadae nilizaliwa njiti walaiNakumbuka lilipotokea lilizusha hofu na taharuki kwa jamii nzima. Ilikuwa ni kipindi ambacho kulikuwa na vugu vugu la matukio mengi yakihusisha pia na maswala ya kidini ... najaribu kurejea:
*Kuchomwa kwa mabucha ya nguruwe
*Kuendelea kwa matukio kama hayo katika shule nyingine
*kupatikana kwa mabomu Mlima kilimanjaro(sijui propaganda)
Moja lilikuwa limeandikwa mistari ya biblia
"Ombeni nany mtapewa, tafteni nany...."
*milipuko ya moto mlima kilimanjaro
*vuguvugu la mihadhara ya kidini kushika kasi
Wenye kumbukumbu zaidi wanaweza leta matukio zaidi
MSRIP.. it was sad indeed
umekuwa magu π haya peleka mavi yako hayo nyumbani kwakoWe ni mavi,Kwa ujinga wako unataka tukujibu kuwa Rais alikuwa nani mwaka 1994...hivi ni kweli una akili mdogo Kwa kiwango hikiπππ
Jf sijui inaelekea wapi!
Tungekuwa tunazungumzzia Rais wa Sierra Leone Sawa!