ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Mwambieni Ndugai, mbinu hizo za kutishia zilizotumika kabla ya vita kuu ya pili, zinazidi kuwafanya vituko.Lissu kamficha dereva,hili la Mbowe dereva aliwahiwa kabla hajafichwa,Mukya nae kahojiwa,madaktari waliompokea Mbowe nao wamehojiwa,hapo kila kitu kimeisha Mbowe akikanusha tu tunatoa video ndipo atakapomalizwa kabisa
Wenye akili wapo wengi tu,lakini Crimea zako ziko makalioniYani washambuliaji wa Mbowe walichagua goti tu wakambonda tap basi wakaondoka,
Inaonekana Mbowe aliwatengea kabisa mguu kwamba bondeni hapa!
Huu uhuni uwe unaishia huko chadema, msilete huku mtaani kuna watu wana akili.
You are contradicting yourself, unasema 'kama watu wa kitengo walihusika' kumbe unajua yawezekana wamehusika kumjeruhi na wamefuta CCTV footage au wameziondoa tena kupoteza ushahidi kama walivyofanya kipindi cha Lissu.Mtu yeyote anayehoji CCTV hana uwezo wa kufikiri
kama Mbowe kalewa na kaamua kupakazia JPM na watu wasiojulikana unafifikiri ataiacha CCTV imuumbue au wewe unamuona Mbowe ni FALA SANA sio..!??
Kama watu wasiojlikana chini ya Kitengo kweli walihusika unafikiri wao ni wajinga waache CCTV CAMERA iwaumbue
Tambua muhalifu anaaakili kuliko mtu wa kawaida.
Mboe ana akili sana usimchukulie poa
Duh yaani kama KitwangaTaarifa ya madaktari ilionyesha alikua kalewa tena chakarii
Mbowe alihojiwa hospital na akawa anaongea kileviTarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.
Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.
Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
We mwanamke una gubu sana! Sijui ndio Mukya mwenyewe?Wenye akili wapo wengi tu,lakini Crimea zako ziko makalioni
Kahojiwa na nani, na wapi maana wakati Mbowe anatoka Dodoma kwenda Dar Aga Khan hospital alikuwa hajahojiwa na polisi.Mbowe alihojiwa hospital na akawa anaongea kilevi
Na kumbuka tukio LA Lissu ni mchana SAA 7 na Mbowe ni SAA 7 usiku na mahali ni hapo hapo Dodoma Area D.Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.
Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.
Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Ripoti kama barua ya uchumba.Jeshi la Poilisi halijawahi kutoa ripoti ya kishambenga kama hii. Nimecheka tu baada ya kuisoma. Nikajua ililenga kumchafua Mbowe na kumfurahisha jiwe. Mbona Mbowe ni mtu laini sana. Sijui ingekuwa Lisu ama Heche ama Lema ingekuwaje?
Bungeni kabla hata polisi hawajaanza uchunguzi, Ndugai, Lijua, Silinde na Msukuma walikuwa wameshaanza 'mahubiriovu' yao wakishangiliwa sana na Wabunge hasa wa kijani.ukisoma taarifa rasmi ya polisi utagundua kwamba
Mbowe Kahojiwa (anadai alivamiwa na alipiga kelele kuomba msaada)
Dereva wa Mbowe Kahojiwa, (anakiri Mbowe alivamiwa, yaelekea yeye alikaa Pembeni anaangalia bosi wake alivokuwa anapewa kipondo japo watesi hawakuwa na silaha yoyote)
Kimada wa Mbowe Kahojiwa
Mtoto wa Mbowe, James Mbowe Kahojiwa (alikuwa ndani hakusikia wala hakuonaa chochote wala hakushirikishwa hata baada ya tukio bali walimtafuta viti maalum tu-Mukya)
Majirani wamehojiwa (wamedai hawakusikia sauti kuomba msaada wala kuona tukio)
Madaktari hospitali wamehojiwa (wamethibitisha alilewa mpaka akashindwa kujieleza)
Walienda kumuhoji lakini ila Mwamba alikuwa Bwax sana kiasi cha kushindwa kunyanyua mdomo,yaani noma sanaTarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.
Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.
Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Wahenga walisema njia ya mwongo ni fupi.wanatumia nguvu Kubwa sana kutetea maovu.Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.
Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.
Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Yupo na KUB tayari sasa nashangaa unakua na wivu aiseeMlete dadako tulale chumba kimoja
Asubuhi Akuambie yaliyo mkuta