Tukio la Lissu hadi Lissu ahojiwe, tukio la Mbowe upelelezi tayari, lini Mbowe kahojiwa?

Lissu kamficha dereva,hili la Mbowe dereva aliwahiwa kabla hajafichwa,Mukya nae kahojiwa,madaktari waliompokea Mbowe nao wamehojiwa,hapo kila kitu kimeisha Mbowe akikanusha tu tunatoa video ndipo atakapomalizwa kabisa
Mwambieni Ndugai, mbinu hizo za kutishia zilizotumika kabla ya vita kuu ya pili, zinazidi kuwafanya vituko.
 
Yani washambuliaji wa Mbowe walichagua goti tu wakambonda tap basi wakaondoka,
Inaonekana Mbowe aliwatengea kabisa mguu kwamba bondeni hapa!

Huu uhuni uwe unaishia huko chadema, msilete huku mtaani kuna watu wana akili.
Wenye akili wapo wengi tu,lakini Crimea zako ziko makalioni
 
Mtu yeyote anayehoji CCTV hana uwezo wa kufikiri
kama Mbowe kalewa na kaamua kupakazia JPM na watu wasiojulikana unafifikiri ataiacha CCTV imuumbue au wewe unamuona Mbowe ni FALA SANA sio..!??
Kama watu wasiojlikana chini ya Kitengo kweli walihusika unafikiri wao ni wajinga waache CCTV CAMERA iwaumbue
Tambua muhalifu anaaakili kuliko mtu wa kawaida.
Mboe ana akili sana usimchukulie poa
You are contradicting yourself, unasema 'kama watu wa kitengo walihusika' kumbe unajua yawezekana wamehusika kumjeruhi na wamefuta CCTV footage au wameziondoa tena kupoteza ushahidi kama walivyofanya kipindi cha Lissu.
 
Jeshi la Poilisi halijawahi kutoa ripoti ya kishambenga kama hii. Nimecheka tu baada ya kuisoma. Nikajua ililenga kumchafua Mbowe na kumfurahisha jiwe. Mbona Mbowe ni mtu laini sana. Sijui ingekuwa Lisu ama Heche ama Lema ingekuwaje?
 
Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.

Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.

Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Mbowe alihojiwa hospital na akawa anaongea kilevi
 
Kahojiwa na nani, na wapi maana wakati Mbowe anatoka Dodoma kwenda Dar Aga Khan hospital alikuwa hajahojiwa na polisi.
 
Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.

Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.

Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Na kumbuka tukio LA Lissu ni mchana SAA 7 na Mbowe ni SAA 7 usiku na mahali ni hapo hapo Dodoma Area D.
Hii inaonyesha 2020 Jeshi la polisi limeboresha kitengo cha upelelezi, intelijensia na ujasusi baada ya kupata wataalamu wapya Job Ndugai, Msukuma, Kibajaji, Kijualikali na Silinde.
 
Jeshi la Poilisi halijawahi kutoa ripoti ya kishambenga kama hii. Nimecheka tu baada ya kuisoma. Nikajua ililenga kumchafua Mbowe na kumfurahisha jiwe. Mbona Mbowe ni mtu laini sana. Sijui ingekuwa Lisu ama Heche ama Lema ingekuwaje?
Ripoti kama barua ya uchumba.
 
ukisoma taarifa rasmi ya polisi utagundua kwamba
Mbowe Kahojiwa (anadai alivamiwa na alipiga kelele kuomba msaada)
Dereva wa Mbowe Kahojiwa, (anakiri Mbowe alivamiwa, yaelekea yeye alikaa Pembeni anaangalia bosi wake alivokuwa anapewa kipondo japo watesi hawakuwa na silaha yoyote)
Kimada wa Mbowe Kahojiwa
Mtoto wa Mbowe, James Mbowe Kahojiwa (alikuwa ndani hakusikia wala hakuonaa chochote wala hakushirikishwa hata baada ya tukio bali walimtafuta viti maalum tu-Mukya)
Majirani wamehojiwa (wamedai hawakusikia sauti kuomba msaada wala kuona tukio)
Madaktari hospitali wamehojiwa (wamethibitisha alilewa mpaka akashindwa kujieleza)
Bungeni kabla hata polisi hawajaanza uchunguzi, Ndugai, Lijua, Silinde na Msukuma walikuwa wameshaanza 'mahubiriovu' yao wakishangiliwa sana na Wabunge hasa wa kijani.
Polisi kulinda matumbo ya familia zao, ni lazima nao washiriki kumfurahisha Jiwe. Wasije nao kuambiwa wanataka JIPIMA ubavu na Jiwe.
Bahati mbaya yote wanayobumba, yanabuma moja baada jingine, CHADEMA yazidi kupaa na imara zaidi mioyoni mwa waTZ.
We shall overcome
 
Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.

Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.

Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Walienda kumuhoji lakini ila Mwamba alikuwa Bwax sana kiasi cha kushindwa kunyanyua mdomo,yaani noma sana
 
Idara ya police, apelekwe mwanajeshi ili huu upuuzi uishe. Brigadeir anatosha kusimamia police. Ili wafuate sheria la sivyo tutapoteana watu wa Magharibi wakiamua kuingia hapa.
 
Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.

Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.

Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Wahenga walisema njia ya mwongo ni fupi.wanatumia nguvu Kubwa sana kutetea maovu.
 
Back
Top Bottom