ukisoma taarifa rasmi ya polisi utagundua kwamba
Mbowe Kahojiwa (anadai alivamiwa na alipiga kelele kuomba msaada)
Dereva wa Mbowe Kahojiwa, (anakiri Mbowe alivamiwa, yaelekea yeye alikaa Pembeni anaangalia bosi wake alivokuwa anapewa kipondo japo watesi hawakuwa na silaha yoyote)
Kimada wa Mbowe Kahojiwa
Mtoto wa Mbowe, James Mbowe Kahojiwa (alikuwa ndani hakusikia wala hakuonaa chochote wala hakushirikishwa hata baada ya tukio bali walimtafuta viti maalum tu-Mukya)
Majirani wamehojiwa (wamedai hawakusikia sauti kuomba msaada wala kuona tukio)
Madaktari hospitali wamehojiwa (wamethibitisha alilewa mpaka akashindwa kujieleza)