Tukio la Lissu hadi Lissu ahojiwe, tukio la Mbowe upelelezi tayari, lini Mbowe kahojiwa?

Tukio la Lissu hadi Lissu ahojiwe, tukio la Mbowe upelelezi tayari, lini Mbowe kahojiwa?

Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.
Lissu kamficha dereva,hili la Mbowe dereva aliwahiwa kabla hajafichwa,Mukya nae kahojiwa,madaktari waliompokea Mbowe nao wamehojiwa,hapo kila kitu kimeisha Mbowe akikanusha tu tunatoa video ndipo atakapomalizwa kabisa
 
Kwani police walikuwa wanapeleleza nini?
 
Lissu kamficha dereva,hili la Mbowe dereva aliwahiwa kabla hajafichwa,Mukya nae kahojiwa,madaktari waliompokea Mbowe nao wamehojiwa,hapo kila kitu kimeisha Mbowe akikanusha tu tunatoa video ndipo atakapomalizwa kabisa
Polisi ingekuwa na video ingesubiri mashahidi wa kuokoteleza, watoe hiyo CCTV footage tuone, polisi wamezoea kuzing'oa au wanasubiri za kuchora kama za Mambosasa walipomteka MO.
 
Nani kakuambia kuwa mtu aliyepanga kukushambulia hata tekeleza nia yake kwa kuwa amekukuta umelewa?je ulevi pia siku hizi unaweza kumvunja mtu mguu? I thought kazi ya upelelezi ililenga kutuambia majeraha ya Mbowe yalisababishwa na nini.Anyway hii ndo Tanzania ya Magufuli
Hili ni tatizo la kutokupokea taarifa mnazoelezwa, kama hamjaridhika chunguzeni sasa mlete majibu ambayo ni sahihi zaidi
 
Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.

Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.

Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Uwe unafuatilia mambo ndugu yangu, taarifa ya awali ya polisi walisema kabisa walimhoji mbowe na dereva wake.
 
Kutokana na taarifa ya jesh ni kuwa hakuna uthibitisho wa mtu mwingine yeyote wa kuwa Mh Mbowe alishambuliwa zaidi ya "Mbowe mwenyewe na dereva wake."
Polisi wamesema hakukuwa na purukushani yoyote nyumbani kwa Mbowe mida hiyo saa 7-8 usiku maana majirani wamesema walikuwa macho. Hawajasema upelelezi umefungwa. Bado Mbowe aje ahojiwe iweje hakumjulisha mwanae wanayekaa nae akapiga kelele Hadi dereva akisikia akarudi akampeleka kwa Joyce.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani washambuliaji wa Mbowe walichagua goti tu wakambonda tap basi wakaondoka,
Inaonekana Mbowe aliwatengea kabisa mguu kwamba bondeni hapa!

Huu uhuni uwe unaishia huko chadema, msilete huku mtaani kuna watu wana akili.
Halafu mnyika alisema Mbowe hakuwa peke Yake mbona hataji walikokuwa na Mbowe wakati anashambuliwa na faru Joni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je wamewahoji, kama hawajawahoji na kumpima mhusika kwanini wana conclude alikuwa amelewa.
Waliosema alikuwa amelewa sio polisi, wa Kwanza kusema Mbowe alilewa ni MCH. Msigwa mbunge Chadema. Shahidi kuthibitisha kuwa alilewa ni mh. Lema maana Msigwa kasema walikuwa wanalewa wote watatu. Mwingine ni Dr. aliyempokea kasema alikuwa hawezi kutamka maneno kwa ufasaha kwa ajili ya ulevi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.

Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.

Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Mbowe hajafanikiwa kuwatorosha mashahidi namba moja! Derega wake na mtoto wake.
 
Je wamewahoji, kama hawajawahoji na kumpima mhusika kwanini wana conclude alikuwa amelewa.
Taarifa ya madaktari waliompokea alikua kalewa na hawezi hata lutamka maneno vizuri. Dereca kahojiwa alidhani ndio ansaidia bosi wake kumbe ndio anaweka mambo clear.
 
Si mlisema polisi wanacheleweshaga uchunguzi??
Haya sasa wamewahi

Ni kweli kabisa huwa tunasema wanachelewesha uchunguzi, tena kwa lengo la kuficha uovu. Lakini sasa wamewahi sio kwa ajili kutoa ukweli, ila kwa lengo la kupotosha ukweli. Hivyo tatizo lao la msingi la kufunika uovu liko pale pale. Hadi tunavyozungumza wanaccm mkoa wengi kwa ajili ya kupindisha ukweli humu mitandaoni, lakini bado ukweli una nguvu kuliko wingi wenu humu ndani. Na polisi wanaona hoja zetu, na zinawakwaza ile mbaya, ila hawana jinsi, hiyo ndio gharama ya kumtumikia shetani.
 
Taarifa ya madaktari waliompokea alikua kalewa na hawezi hata lutamka maneno vizuri. Dereca kahojiwa alidhani ndio ansaidia bosi wake kumbe ndio anaweka mambo clear.

Uko sahihi mno, dereva alisemaje tena? Je kwenye huo ushahidi kuna popote wamezungumzia ushahidi toka CCTV cameras?
 
Inaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishwe
 
Mbowe ni mlevi wa kupinduki. Mwenyekiti punguza ulevi ni hatari kwa Afya na akili yako.
 
Back
Top Bottom