- Thread starter
- #21
Hiyo taarifa ya madaktari wewe umeitoa wapi, au siku hizi Ndugai amekuwa daktari.Taarifa ya madaktari ilionyesha alikua kalewa tena chakarii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo taarifa ya madaktari wewe umeitoa wapi, au siku hizi Ndugai amekuwa daktari.Taarifa ya madaktari ilionyesha alikua kalewa tena chakarii
Lissu kamficha dereva,hili la Mbowe dereva aliwahiwa kabla hajafichwa,Mukya nae kahojiwa,madaktari waliompokea Mbowe nao wamehojiwa,hapo kila kitu kimeisha Mbowe akikanusha tu tunatoa video ndipo atakapomalizwa kabisaLissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.
Kwani police walikuwa wanapeleleza nini?Lissu kamficha dereva,hili la Mbowe dereva aliwahiwa kabla hajafichwa,Mukya nae kahojiwa,madaktari waliompokea Mbowe nao wamehojiwa,hapo kila kitu kimeisha Mbowe akikanusha tu tunatoa video ndipo atakapomalizwa kabisa
Polisi ingekuwa na video ingesubiri mashahidi wa kuokoteleza, watoe hiyo CCTV footage tuone, polisi wamezoea kuzing'oa au wanasubiri za kuchora kama za Mambosasa walipomteka MO.Lissu kamficha dereva,hili la Mbowe dereva aliwahiwa kabla hajafichwa,Mukya nae kahojiwa,madaktari waliompokea Mbowe nao wamehojiwa,hapo kila kitu kimeisha Mbowe akikanusha tu tunatoa video ndipo atakapomalizwa kabisa
Hili ni tatizo la kutokupokea taarifa mnazoelezwa, kama hamjaridhika chunguzeni sasa mlete majibu ambayo ni sahihi zaidiNani kakuambia kuwa mtu aliyepanga kukushambulia hata tekeleza nia yake kwa kuwa amekukuta umelewa?je ulevi pia siku hizi unaweza kumvunja mtu mguu? I thought kazi ya upelelezi ililenga kutuambia majeraha ya Mbowe yalisababishwa na nini.Anyway hii ndo Tanzania ya Magufuli
Ndugai alituma madaktar wa bunge, uwe unasikiliza hata taarifa za habariHiyo taarifa ya madaktari wewe umeitoa wapi, au siku hizi Ndugai amekuwa daktari.
Uwe unafuatilia mambo ndugu yangu, taarifa ya awali ya polisi walisema kabisa walimhoji mbowe na dereva wake.Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.
Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.
Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Wewe dada una wivu aiseee...basi nawe Bashite atakukumbatia one dayKumtetea Mwenyekiti Bado sana
Kiki yake Imebuma
Alitaka kugeuza Upuuzi wake kuwa mtaji wa siasa hovyo kabisaView attachment 1476988
Polisi wamesema hakukuwa na purukushani yoyote nyumbani kwa Mbowe mida hiyo saa 7-8 usiku maana majirani wamesema walikuwa macho. Hawajasema upelelezi umefungwa. Bado Mbowe aje ahojiwe iweje hakumjulisha mwanae wanayekaa nae akapiga kelele Hadi dereva akisikia akarudi akampeleka kwa Joyce.Kutokana na taarifa ya jesh ni kuwa hakuna uthibitisho wa mtu mwingine yeyote wa kuwa Mh Mbowe alishambuliwa zaidi ya "Mbowe mwenyewe na dereva wake."
Halafu mnyika alisema Mbowe hakuwa peke Yake mbona hataji walikokuwa na Mbowe wakati anashambuliwa na faru Joni?Yani washambuliaji wa Mbowe walichagua goti tu wakambonda tap basi wakaondoka,
Inaonekana Mbowe aliwatengea kabisa mguu kwamba bondeni hapa!
Huu uhuni uwe unaishia huko chadema, msilete huku mtaani kuna watu wana akili.
Waliosema alikuwa amelewa sio polisi, wa Kwanza kusema Mbowe alilewa ni MCH. Msigwa mbunge Chadema. Shahidi kuthibitisha kuwa alilewa ni mh. Lema maana Msigwa kasema walikuwa wanalewa wote watatu. Mwingine ni Dr. aliyempokea kasema alikuwa hawezi kutamka maneno kwa ufasaha kwa ajili ya ulevi.Je wamewahoji, kama hawajawahoji na kumpima mhusika kwanini wana conclude alikuwa amelewa.
Kuhusu suala la kumpima kilevi Mbowe Kuna thread alianzisha Nyani Ngabu itafute uone jinsi Nyie wafia chama mlivyopinga kwa nguvu zote. Sasa huku mmegeuka eti hakupimwa. Haijulikani mnataka NiniJe wamewahoji, kama hawajawahoji na kumpima mhusika kwanini wana conclude alikuwa amelewa.
Mbowe hajafanikiwa kuwatorosha mashahidi namba moja! Derega wake na mtoto wake.Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.
Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.
Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Taarifa ya madaktari waliompokea alikua kalewa na hawezi hata lutamka maneno vizuri. Dereca kahojiwa alidhani ndio ansaidia bosi wake kumbe ndio anaweka mambo clear.Je wamewahoji, kama hawajawahoji na kumpima mhusika kwanini wana conclude alikuwa amelewa.
Si mlisema polisi wanacheleweshaga uchunguzi??
Haya sasa wamewahi
Taarifa ya madaktari waliompokea alikua kalewa na hawezi hata lutamka maneno vizuri. Dereca kahojiwa alidhani ndio ansaidia bosi wake kumbe ndio anaweka mambo clear.
Dereva alisema kavamiwa...Uko sahihi mno, dereva alisemaje tena? Je kwenye huo ushahidi kuna popote wamezungumzia ushahidi toka CCTV cameras?