Tukio la Lissu hadi Lissu ahojiwe, tukio la Mbowe upelelezi tayari, lini Mbowe kahojiwa?

Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.

Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.

Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Hii nchi ukiwa na akili timamu unaishi kwa tabu sana. Maana kuna mambo mengi ya kipumbavu yanafanywa na walioshika mpini ukiyaona hadi kichwa kinauma.

Vilaza wana enjoy sana maisha
 
Yani washambuliaji wa Mbowe walichagua goti tu wakambonda tap basi wakaondoka,
Inaonekana Mbowe aliwatengea kabisa mguu kwamba bondeni hapa!

Huu uhuni uwe unaishia huko chadema, msilete huku mtaani kuna watu wana akili.
Wenye akili ndiyo hawa wa kusubiri Lissu arudi ndiyo uchunguzi ufanywe.Angekufa??
 
Waliosema alikuwa amelewa sio polisi, wa Kwanza kusema Mbowe alilewa ni MCH. Msigwa mbunge Chadema. Shahidi kuthibitisha kuwa alilewa ni mh. Lema maana Msigwa kasema walikuwa wanalewa wote watatu. Mwingine ni Dr. aliyempokea kasema alikuwa hawezi kutamka maneno kwa ufasaha kwa ajili ya ulevi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msingwa anakunywa pombe!
 
Hiyo nitaarifa ya awali na jeshi la police bado linachunguza na limeaahidi kuenderea kutoa taarifa.

Faru john cyo mchezo.
 
Kwani kuhoji unafanyaje? Polisi wanahoji kama waandishi wa habari? Wewe ndo mbowe mpaka useme hawajamhoji?
 
Hili ni tatizo la kutokupokea taarifa mnazoelezwa, kama hamjaridhika chunguzeni sasa mlete majibu ambayo ni sahihi zaidi
Mkuu kwani police walikuwa wanafanya upelelezi wa kujua Kama mbowe alikuwa amelewa au la?au walikuwa wanafanya uchunguzi wa kujua Mbowe kajeruhiwa na nin? Au ulevi pia siku hizi unajeruhi?
 
Lissu kamficha dereva,hili la Mbowe dereva aliwahiwa kabla hajafichwa,Mukya nae kahojiwa,madaktari waliompokea Mbowe nao wamehojiwa,hapo kila kitu kimeisha Mbowe akikanusha tu tunatoa video ndipo atakapomalizwa kabisa
kumbe lengo ni kummaliza?
kama kweli sio ujinga na upuuzi wa kina ndugai kwanini majibu ya police yanafanana na yale ya police?
kwamba sikuhizi kunywa pombe imekua ni uhalaili wa mtu kushambuliwa?
kwamba unaweza kutoa taarifa ya uchunguzi bila kumuhoji muhusika?
kama sio tukio la kupangwa hiyo video wewe na wapuuzi wenzio umeipata wapi kama alianguka akiwa mwenyewe?
ccm mmeishiwa uwezo wa kukabiliana na wapinzani wenu mnategemea mbinu za kishamba za mauaji
Rejea maneno ya yule mpuuzi mwenzio mwenyekiti wa UVCCM wa taifa na yule wa Iringa ndo ujue kilichomkuta mbowe.
msitufanye wajinga
 
Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.

Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.

Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
Instagram media - Bt2Krycj3b7.jpg
 
Mkuu kwani police walikuwa wanafanya upelelezi wa kujua Kama mbowe alikuwa amelewa au la?au walikuwa wanafanya uchunguzi wa kujua Mbowe kajeruhiwa na nin? Au ulevi pia siku hizi unajeruhi?
Ni sehemu ya uchunguzi, ulevi haujeruhi tu unaua pia. Maana kinachotokea baada ya kuwa mlevi ndicho kitafanya uumie ama ufe
 
Kwa hiyo police umesema Mbowe amejeruhiwa na ulevi? Na unaweza kunisaidie huo ulevi unajeruhije au unauaje?
 
Eti mhusika mkuu
Inamaana hata Barua ya Polisi hujaisoma zaidi ya Kukurupuka hapa
Hujitambui
Kwanza hujui hata unazungumzia nini
Nenda kasome tena Barua ile ya Polisi
Ila Mwambieni Mwenyekiti wenu Aka Mungu mtu wa Vibendera
Kikiyake Imebuma
Hiyo siyo taarifa ya uchunguzi ni barua kama barua zingine za mapenzi hata wewe unaweza andika, barua imejaa siasa za kuelekezwa na Ndugai itaiita taarifa ya uchunguzi.

Leta quotation yeyote ya Mbowe kwenye hiyo taarifa zaidi ya msemaji wa polisi kusema mashahidi "wanadai Mbowe alisema...... Mbowe alipiga kelele......" na blah blah nyingi zisizo na mashiko kwenye tasnia ya uchunguzi, waambieni walete CCTV footage kama hawataumbuka na barua yao.
 
Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo.

Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na upelelezi kwa vile hawajamhoji Lissu na dereva wake.

Kama wameweza kwa Mbowe bila kumhoji inashindikana nini kuendelea na upelelezi tukio la kushambuliwa Lissu hadi wamsubiri yeye na dereva wake.
ukisoma taarifa rasmi ya polisi utagundua kwamba
Mbowe Kahojiwa (anadai alivamiwa na alipiga kelele kuomba msaada)
Dereva wa Mbowe Kahojiwa, (anakiri Mbowe alivamiwa, yaelekea yeye alikaa Pembeni anaangalia bosi wake alivokuwa anapewa kipondo japo watesi hawakuwa na silaha yoyote)
Kimada wa Mbowe Kahojiwa
Mtoto wa Mbowe, James Mbowe Kahojiwa (alikuwa ndani hakusikia wala hakuonaa chochote wala hakushirikishwa hata baada ya tukio bali walimtafuta viti maalum tu-Mukya)
Majirani wamehojiwa (wamedai hawakusikia sauti kuomba msaada wala kuona tukio)
Madaktari hospitali wamehojiwa (wamethibitisha alilewa mpaka akashindwa kujieleza)
 
Isome taarifa vizuri kahojiwa lini na wapi, polisi wana quote waliyoambiwa na mashahidi.
 
Uko sahihi mno, dereva alisemaje tena? Je kwenye huo ushahidi kuna popote wamezungumzia ushahidi toka CCTV cameras?
Mtu yeyote anayehoji CCTV hana uwezo wa kufikiri
kama Mbowe kalewa na kaamua kupakazia JPM na watu wasiojulikana unafifikiri ataiacha CCTV imuumbue au wewe unamuona Mbowe ni FALA SANA sio..!??
Kama watu wasiojlikana chini ya Kitengo kweli walihusika unafikiri wao ni wajinga waache CCTV CAMERA iwaumbue
Tambua muhalifu anaaakili kuliko mtu wa kawaida.
Mboe ana akili sana usimchukulie poa
 
Unaongea utoto gani dogo?
 
Back
Top Bottom