Tukio la Martha Karua kuzuiwa Uwanja wa ndege limepindua meza, sasa no reform election

Tukio la Martha Karua kuzuiwa Uwanja wa ndege limepindua meza, sasa no reform election

1747637619138.jpeg
1747637821915.jpeg
 
Kupitia ki English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030📌🔨
Kupitia ki -English imenifurahisha.
 
Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam

CHADEMA YAPATA BALOZI

Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo dunia ilishindwa kuelewa hali ya kisiasa Tanzania kwa kuwa dola ilikuwa inajificha katika kichaka cha kutumia 'kiLugha' yaana Kiswahili kuficha maovu yake

View: https://m.youtube.com/watch?v=5HU2fES7Es0

Kupitia ki-English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030

Bahati hii imekuja wakati muafaka na mheshimiwa Martha Karua atakuwa msemaji asiye rasmi wa CHADEMA katika diaspora kuendelea kuipatia dunia muendelezo wa kinachijiri kesho Kisutu tarehe 19 May 2025 pamoja na hali ya kisiasa kuelekea Oktoba 2025

Senior counsel msomi Martha Karua kutokea jijini Nairobi atakuwa ni balozi wa CHADEMA kuendeleza struggle ya No Reforms No Election.

KAMA JULIUS NYERERE ALIVYOKUWA BALOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI, MARTHA KARUA NAYE AMEKUWA BALOZI WA CHADEMA:
Tukisoma historia na kumbukumbu za intaneti tunaona Tanzania wakati wa vuguvugu la ukombozi kusini mwa Afrika, Mwl. Nyerere, brigedia Hashim Mbita, balozi Salim Ahmed Salim n.k kwa kutaja kwa uchache walikuwa mabalozi wa vyama vya ANC, ZANU , SWAPO n.k kutetea wapigania uhuru kama Nelson Mandela, Robert Mugabe na wengine waliokuwa jela chini ya tawala za wachache Zimbabwe na zile za ubaguzi South Africa.

TOKA MAKTABA :
UBALOZI WA NYERERE KUTETEA ZIMBABWE CHINI YA UTAWALA WA WACHACHE

2015 23 Julai


View: https://m.youtube.com/watch?v=pBdbxEUF_ag
(21 Nov 1975) President Nyerere of Tanzania, flanked by Benjamin Mkapa and other Tanzanian officials is questioned at a press conference, whether an armed struggle could be avoided, in Rhodesia (Zimbabwe) ...

SALIM AHMED SALIM ALIVYOJITWISHA UBALOZI KUTETEA WAPIGANIA UHURU WA ZIMBABWE


View: https://m.youtube.com/watch?v=jhGng6DG5Nw
2015 24 Julai
(11 February 1980) Tanzanian Minister of Foreign Affairs, Salim Ahmed Salim, holds a press conference on the delevlopments in Zimbabwe Rhodesia.

Pia soma > Pre GE2025 - Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar

Nimefurahia Kingereza cha Mwalimu Nyerere na Dr. Salim Ahmed Salum. Najiuliza kwanini waliamuaga kuiminya kingereza ili kisifundishwe vizuri mashuleni? Siku hizi hadi Dokta wa Chuo kikuu hawezi kuzungumza kingereza.
 
Nimefurahia Kingereza cha Mwalimu Nyerere na Dr. Salim Ahmed Salum. Najiuliza kwanini waliamuaga kuiminya kingereza ili kisifundishwe vizuri mashuleni? Siku hizi hadi Dokta wa Chuo kikuu hawezi kuzungumza kingereza.

Ni njama ovu za watawala watanzania wasiweze kuandika, kusoma wala kuzungumza ki-English ili waTanzania wawe wanazungumza 'ki-Lugha' cha kiSwahili, maovu ya watawala habari zake zisivuke mipaka.

Na pia ili Watanzania wasiweze kusoma, kufuatilia masuala mbalimbali yanayoandikwa, kutangazwa au kurushwa ktk TV, online na majukwaa mengi ambayo yameandikwa au kuwakilishwa kwa ki-English lugha kubwa ya kimataifa duniani.
 
Sawa, shangilieni basi. Si ndicho mnachotaka au? Basi serikali ipo pamoja nanyi ndo maana imewasaidia. 😆😆😆😆

Mtajua kuwa hamjui......kuongoza nchi si sawa na kuongoza hako kasaccos ka lissu na heche.
Kasaccos kanachofanya "mama yako" na wenzako wapate usingizi wa mang'amung'amu huku Mzee Wasira pumzi ikiwa imekata!!!?

Ninyi machawa wa CCM msio na mbele wala nyuma mnaoishi kwa kudra ya "miungu watu wenu" mnaowaita viongozi hamna lolote zaidi ya kutupiwa mifupa na makombo.
 

Activist Boniface Mwangi claims life in danger after armed men confront him at a hotel in Tanzania​

By Lucy Mumbi | May 19, 2025
Activist Boniface Mwangi claims life in danger after armed men confront him at a hotel in Tanzania

Activist Boniface Mwangi, who claimed his life is in danger after an attempted raid by armed men in civilian clothes at his hotel room in Dar es Salaam, Tanzania. (Photo: X/The People’s Watchman

This incident followed another in which former Chief Justice Willy Mutunga, alongside activists Hussein Khalid and Hanifa Adan, were denied entry into Tanzania.

The trio was travelling to Tanzania to observe legal proceedings involving Tanzanian opposition figure Tundu Lissu, who was charged with treason.

In a series of social media posts, Khalid said they had traveled to Tanzania as a show of solidarity with local lawyers and human rights defenders.

“Willy Mutunga, Hanifa Adan, and I have been detained at Julius Nyerere Airport, Dar es Salaam, as we came in for the observance of Tundu Lissu’s case.
 
19 May 2025
The Chief Resident Magistrate's
Court
Dar es Salaam, Tanzania

PUBLIC TRIAL OF TUNDU ANTIPAS LISSU TODAY 19 MAY 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=RD3JhaG8Wys

Tanzania's opposition leader Tundu Antipas Lissu appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court on Monday 19th May 2025..

Tundu Lissu who was shot 16 times in a 2017 attack and came second in the last presidential poll, was subsequently charged with treason over what prosecutors said was a speech calling upon the public to rebel and disrupt the elections.

He had held several rallies in early April 2025 under the slogan “No Reforms, No Election”, where CHADEMA demanded significant changes to an electoral process they say favours the ruling party.

Days after Lissu’s arrest, the election commission INEC disqualified CHADEMA from participating in the polls over its refusal to sign a code of conduct.
 
DEFIANT TUNDU LISSU BRANDISHING LEGAL DOCUMENTS - STRUGGLE MUST CONTINUE

1747641447034.jpeg


TUNDU LISSU - A LUTA CONTINUA !
1747641874671.jpeg
 
19 May 2025
Dar es Salaam, Tanzania

Boniface Mwangi says his life is in danger as armed men show up at his hotel room in Dar es Salaam​


View: https://m.youtube.com/watch?v=BGoZfL0eYl0
Activist Boniface Mwangi says his life is in danger as men claiming to be police officers show up at his hotel room in Dar es Salaam, Tanzania
 
Tulifahamika kama nchi ya Demokrasia na mfano duniani, ILA sasa tumekuwa nchi ya aibu duniani!
 
19 May 2025

Jaji Maraga mahakamani Kisutu Dar es Salaam Tanzania; kesi dhidi ya Tundu Lissu | DW Kiswahili​


View: https://m.youtube.com/watch?v=PaDh6sbtbWM
Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya David Maraga ni miongoni mwa watu Mashuhuri waliofika mahakamani Kisutu, Dar es Salaam Tanzania, kuhudhuria kesi dhidi ya Mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu. Kesi hiyo imewavutia wanaharakati wa haki za binadamu na vilevile mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya EU
 
Wakenya wanataka tufanane?
Sie watu wa amani bwashee, fujo hatutaki

Hembu kwanza wakenya malizeni ya kwenu kwanza wajameni
Yetu hayawahusu
 
Taifa letu limekuwa mateka wa kundi la watu wachache.

Taifa limekuwa hati miliki ya mtu mmoja, MAMA
 
Back
Top Bottom