Marekani karibu kila mwezi naona michango ya rambirambi watu wanachangishana kurudisha maiti nyumbani.
Ku process maiti funeral home tu kabla ya gharama za ndege ni kati ya $1000 na $3,000. Hapo hujaingia gharama za kusafirisha mwili ambazo almost always ni zaidi ya $10,000. Hapo ndipo unepata the lowest deal.Ukija ku add kika kitu tunaongelea around $20,000 hapo.
Wabongo nao kila siku wanaambiwa wanunue life insurance wabishi.
Marekani ukiwa unaishi unaweza kununua life insurance ya mpaka $500,000 kwa kiasi kidogo tu. Ukifa familia yako inaliowa wanakuwa hawana sababu ya kuhangaika.
Yani kama watu kutoa rambirambi inakuwa kiutamaduni tu, si kwa sababu familia inahitaji nauli ya kurudisha mwili na imewapa watu target ya kuifikia.
Tujianae kwa haya mambo, tuache kutegemea serikali na michango ya rambirambi.