Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu, umepiga hesabu Watanzania wangapi wanafariki nje na kuweza ku claim dharula, gharama za kuwasafirisha ni kiasi gani na bajeti za balozi zetu ni kiasi gani?Asikwambie mtu wazanzibar wana hutu sana ,ukiona mzanzibar ana roho mbaya basi huyo mzanzibar wa magomeni au ilala.
Wabara wana umimi sana ,sasa serikali inashindwa vipi kugharamikia tukio kama ilo? JMT hawana funds za dharura?
Au unalaumu serikali bila figures tu?
Sisi huku Marekani kila wiki watu wanachangishana kurudisha maiti Tanzania, na kila maiti gharama zinazidi $10,000, mara nyingine kufika hata $20,000 kutegemea na factors nyingi.
Sasa serikali itaweza kugharamia hawa watu?