Tukio la Mtanzania kufariki Ethiopia: Kama kungekuwa na ubalozi wa Zanzibar huko labda ingesaidia

Unalalamika nini? Tanzania inaongozwa na Mzanzibari, malalamiko ya nini?
 
Mwaka jana Nchiya Oman Illeta Ndege Kuchukua raia wake wote waliokwama kwa sababu ya Corona na kuwarudisha Oman Free of charge.
Hii ndio kujali kwa nchi na raia wake.
Mbona hata sisi tulituma dreamliner India. Umesahau?
 
Bora umesema Mkuu kuhusu Balozi Mapuri kuwa ni Mzanzibar maana kuna member katishia bora kuuvunja Muungano
pili nampa pole sana @batawi kwa kufiwa na dada yake mpendwa, wawe na uvumilivu kwa sasa Mama Samia kashikilia mpini na atarekebisha kero za Muungano
 
Hii nchi miaka 10 ijayo inafikia watu milioni 80.

Miaka 20 ijayo itaweza kufikia hata watu milioni 120. Ime double population katika miaka 20 iliyopita, inaweza ku double tena miaka 20 ijayo.

Kwa rate ya sasa ya population growth ya 3% na watu zaidi ya milioni 60.

Wengi watasafiri kutafuta maisha nje.

Bado tutataka wakifariki nje wote hawa serikali iingie gharama kuwarudisha Tanzania?
 
Kwa hiyo nami ninayeishi Sumbawanga nikifariki serikali ya mkoa inisafirishe kwenda kwetu gairo so ndio?
 
Piga hesabu tuna balozi ngapi duniani. Halafu chukulia kila maiti mnayotaka isafirishwe hardly gharama haipungui 10,000$, sijui umewaza vema au sababu umeguswa na msiba unahisi umekuwa abandoned? Think straight bruh.
 
Huyo mapuri ni mzanzibari, na hapa wazanzibar wanalalamika wawe na ubalozi wao. Mi nadhani issue hapa siyo masuala ya muungano bali ni balozi zibadilike namba zinavyowatreat watu wake.
 
Upo sahihi kwa asilimia zote
Maraisi wa pande zote mbiki ni wazanzibari wenzako

Washaurini wauvunje Muungano
 
Kaka najua unachokisema ila kuna hidden insurance hata bila add on..

Nina experience ya jamaa aliitumia bila kukata akatibiwa baba yake.. wazungu wana mambo mengi yamejificha ukiyajua unafaidika...

Sikufanya mimi ila nilipewa hiyo idea...

Najua add on kama usemavyo but jamaa hakuwa na add on kuna janja alifundishwa...

Just sharing nilichowahi kusikia from my friend around Dallas
 
Very true...
Hata serikali ngumu kukuza uchumi binafsi kwakuwa ujamaa umetupiga..

Hivi unauliza ndugu yako nikupe mtaji kiasi gani ufanye biashara anakwambia chochote Mungu alichokujalia...[emoji16][emoji16]

Sasa Mungu alishanijalia ndio maana nakuuliza... huna hata dream ya good life? ... ndugu yangu Mungu alivyonijalia ndio haya maisha yangu.. Hapo hata serikali itasaidiaje? More than ndugu wa3 majibu ni hayo...
 
Kama ofisi ya mkuu wa wilaya inakosa mafungu itakuwa ubalozi???!
 

Nimekupata. Sasa haya mambo inabidi tuyajue, tuyazingatie na tuwajibike badala ya kusema mbona serikali haijanifanyia hiki au kile kila siku.
 
Mtu akiomba mtaji muombe business plan iliyoandikwa uisome.

Wa chochote Mungu alichonijalia mimi kwanza siamini kuwepo kwa Mungu hivyo Mungu hajanijalia kitu.
 
Nimeyasema haya nikiwa na Uchungu mkubwa wa kuona kuwa MUUNGANO WETU umekuwa kikwazo kwa raia wa Zanzibar .HILI NALO NI MOJA YA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO kwenye mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. We are not treted equaly.
Pole sana wewe una uchungu tu wa kufiwa
Haiwezekani mtu kafa kifo Cha kawaida kwenye safari zake binafsi halafu serikali ilipie,hakuna fungu hilo
Ndio maana mnatakiwa mkate bima ya safari,ili ukipata mtihani safarini bima yako italipa kila kitu
 
Pole sana kwa msiba; wakati wa ujana wangu nilizungukia na kuishi sehemu mbalimbali sana duniani. Balozi zetu huwa ni za hovyo sana siku zote na sidhani kama zimeshajifunza maana ya kuwa ubalozi.

Hiyo ya SMZ kuwapelekea wanafunzi wao masurufu huku SJMT ikishindwa siyo tatizo la ubalozi bali ni tatizo la taratibu tu. Iwapo SMZ ilikuwa imewafadhili kwa masomo, lazima itawapelekea masurufu, kwa wale wa SJMT unaweza kukuta hawakuwa wamepelekwa nkwa ufadhili wa serikali. Sikumbuki kama ni wale wanafunzi waliokuwa Ukraine ambao ilibidi tuwachangie hapa JF!
 
Huu Muungano uvunjikee tu hata sisi wabara huu Muungano umetuchoshaa
 
Wazanzibari mmezoea kulalamika ovyo, sijaona hoja ya msingi hapo. Ulitaka ubalozi uwape fedha au usafiri kwa budget ipi!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…