Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa nini CDM wanapinga serikali tatu?.
Piga ua garagaza. Muundo ni serikali mbili
Rais amewapasha akina Wasira, Werema, Chikawe, Lukuvi na wenzake wanaopinga mchakato huu wa kupata Katiba tunayoihitaji. Amesema hadharani siri aliyokwishawaambia, waache kugomea maoni mazuri ya watanzania kutaka serikali tatu. Amesema wakienda na itikadi zao za umaarufu wa ccm watarudi bila katiba, wajijua wenyewe....hahahahaaa....Asante sana JK
Itapigwa tiktak na wanaccm. Rasimu gani ya kuvunja taifa....Ngoja tuone!Kwani Rasimu hii ndio final, haiwezi kubadilishwa na Bunge la Katiba?
Kwa jinsi nilivyomsikia kikwete hawezi kuruhusu chama chake kuingiza ushabiki kwani ameshasoma kuwa kwa serikali 2 hakuna namna ya kupata theluthi 2 za kuipitisha kwa zanzibar.aibu itamkuta kama ataruhusu mabilioni ya kodi yatumike na katiba isipatikane.
Hivi kwa nini CDM wanapinga serikali tatu?.
Mkuu,
Naisubiria kwa hamu kwani ikiwa serikali tatu tunalipia sisi walipa kodi hao 39000 mie nitakuwa wa kwanza kupinga serikali 3 badala yake iwepo serikali moja tu na kwakuwa tupo milioni 45 ukitoa 39000 wanabakia milioni 48 na laki 9 na elfu 61 ambao wakipinga hilo rasimu inapigwa chini. Tunaumia sana sisi walipa kodi na mzigo huu kodi ya serikali hizi mbili sembuse zikija 3????.
Hivi kutakuwa na wimbo wa Taifa la Tanganyika....Inabidi tuanze mchakoto wa kutunga wimbo wa taifa la Tanganyika. .
Huyu JK akitulia huwa kichwa yake inachaji sana..
Uhuni watakaofanya magamba ni kuondoa baadhi ya vipengele kwenye rasimu likiwemo hili suala la Serikali Tatu kama ilivyopendekezwa na Tume ili zibaki Serikali Mbili wanazotaka wao. Usione kila namna ilifanywa ili Bunge la Katiba liwe na magamba wengi. Hiyo ndio karata yao ya mwisho na wataitumia vilivyo. Naona kama jinamizi la Serikali Mbili litaendlea kuwepo.
Kwa hiyo la msingi ni sisi wananchi kujiandaa kisaikolojia kukubaliana na pinduapindua ya magamba.
wengi kwa takwimu zipi? acha propaganda
Kuna ule wimbo mzuri unaanza ... "Tazama ramani utaona nchi nzuri..."
Kodi yako sh ngapi kwa mwaka weyee...acha kutuzingua hapa eti mlipa kodi wewe...!!
Mkuu, usishangilie sana. Hii ni sawa na kupewa mahindi mabichi utafune wakati hauna meno. Serikali tatu, uraia mmoja, rais mmoja, jeshi moja, polisi moja na usalama wa taifa mmoja. Umeona changamoto iliyo mbeleni?
Chuki zitakuua! Mbona wameenda watu wengi tu hata wananchi wa kawaida??
Upo labda ni kuukarabati kidogo tu uendane na wakati. Una maneno ya "Tanganyika Tanganyika nakupenda kwa moyo wote nchi yangu Tanganyika nina lako ni tamu sana. Nilalapo nakuwaza wewe niamkapo ni heri mama weee....... Tanganyika Tanganyika ..........."Hivi kutakuwa na wimbo wa Taifa la Tanganyika....Inabidi tuanze mchakoto wa kutunga wimbo wa taifa la Tanganyika. .