Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani una maana JK amezungumzia mambo ya Zitto vs CDM kwenye tukio la kukabidhiwa rasimu ya Katiba?Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.....SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.
Source:Mwananchi
Hivi jakaya anaweza kuchambua na kujua kuwa Tundu Lissu hajui sheria?! JK ana degree moja ya uchumi (Gentlemen) yenye GPA anayoijua yeye.
Tundu Lissu ana bachelor degree with Honour kwenye sheria na ana Masters degree. Na ndio huyohuyo amewabwaga mahakamani kwenye makesi ya kubumba, hana historia ya kushindwa kesi yoyote na maccm.
Na ndio huyohuyo jk alishawahi kusema "Ni afadhari Dr Slaa awe raisi kuliko TL awe mbunge..." ina maana aliyasema hayo akiwa anajua kuwa TL hajui sheria?!
JK hana justification ya kauli zake kwa TL

mkuu ulichoandika kinafanana na iyo avatar\picha yakoMh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.
Source:Mwananchi
Nyie Team Zitto mnahangaika sana................ tulijua utakuja hapo kwenye RED baada ya Lissu kumpiga kichwa nyoka.
Hata hivyo kama kweli Kikwete alimtaja Tundu Lisu basi Lisu ni kiboko, magamba watakuwa wanakuna vichwa sana
Tundu lisu ni mwanasheria wa kawaida, hayupo katika kiwango unachomsifia wewe
Division v! Buck 1Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.
Source:Mwananchi
Zitto, maxence,msaky at work jitahdin yan hyo habar mwananch waloiona jana
Pumba tupu
Mh.Rais Kikwete jana
alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa
kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo
mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake
wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu
mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa
mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini
Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa
anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake
kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni
Changa la Macho kwa Watanzania?