Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Zitto, maxence,msaky at work jitahdin yan hyo habar mwananch waloiona jana

Pumba tupu
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.....
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.
Yaani una maana JK amezungumzia mambo ya Zitto vs CDM kwenye tukio la kukabidhiwa rasimu ya Katiba?
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi

Book 7 at work. What are you talking about?

Tiba
 
Kwa maneno wanasema Lisu hana lolote wakisimama ulingoni na Lisu magamba chali.
 
Hivi jakaya anaweza kuchambua na kujua kuwa Tundu Lissu hajui sheria?! JK ana degree moja ya uchumi (Gentlemen) yenye GPA anayoijua yeye.

Tundu Lissu ana bachelor degree with Honour kwenye sheria na ana Masters degree. Na ndio huyohuyo amewabwaga mahakamani kwenye makesi ya kubumba, hana historia ya kushindwa kesi yoyote na maccm.

Na ndio huyohuyo jk alishawahi kusema "Ni afadhari Dr Slaa awe raisi kuliko TL awe mbunge..." ina maana aliyasema hayo akiwa anajua kuwa TL hajui sheria?!

JK hana justification ya kauli zake kwa TL

Tundu lisu ni mwanasheria wa kawaida, hayupo katika kiwango unachomsifia wewe
 
we unaelimu gani?
alikwambia nani mtu akifaulu kwa level ya juu ndo anafanya majukumu kwa usahihi?
mkuuu umevurugwa?au
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi
mkuu ulichoandika kinafanana na iyo avatar\picha yako
rudia tenaaaaaaaaa
 
Nyie Team Zitto mnahangaika sana................ tulijua utakuja hapo kwenye RED baada ya Lissu kumpiga kichwa nyoka.

Hata hivyo kama kweli Kikwete alimtaja Tundu Lisu basi Lisu ni kiboko, magamba watakuwa wanakuna vichwa sana

cdm bila zitto haiwezekani mkuu
 
Tundu lisu ni mwanasheria wa kawaida, hayupo katika kiwango unachomsifia wewe

Ni kweli kabisa, hata JK anajua sheria kuliko Tundu Lissu.
Ukiwa mwana buku7 fc lazima ujitoe akili timamu na kujifanya crazy bad Head
 
Nasikitika jinsi waandishi wa habari wanavyopotosha umma,JK hakutoa kauli kama hiyo jana,bali alisema"ninamwona mwanasheria maarufu nchini,Tundu Lissu"then akasema 'Lissu wakati mwingne unazpotosha sheria kwa makusudi&wenzako wanakuamini'.
Pia aliwaonya waandshi wa habari,waache kuwagombanisha wanasiasa kwa kuandika uchonganishi&unafki.
 
Kwa Rais kumtaja LISSU ndani ya muda mfupi wa takribani miezi miwili tena kwenye suala moja tu linalohusiana na Katiba, anaashiria nini?

Why LISSU? Wale wa jikoni tujuzeni nini kinampa shida Mkulu anapomfikiria huyu bwana. Kama Ni mtu anaona anafaa kumtumia katika serikali yake na anatambua uwezo wake basi na amtumie ila kama anaona Ni threat kwake basi na amuite amjulishe. Kutajataja jina lake hadharani kunaleta sintofahamu.

Kuna mambo mengi ya kuongelea na kutenda zaidi ya kumfikiria LISSU. Maoni yangu tu Kwa Rais wangu.
 
i[img]
mg]
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi
Division v! Buck 1
 
Hapo JK hapakuwa mahali pake kuonesha mkanganyiko kisheria kwenye tukio la Zito, angenukuu mkanganyo kwenye katiba mpya alikuwa sahihi. Issue ya Zito inawezekana alijua anapata jembe alipatie wizara hasa kipiti kigumu alichonacho.
 
Mh.Rais Kikwete jana
alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa
kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo
mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake
wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu
mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa
mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini
Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa
anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake
kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni
Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi

kauli ya Lisu juu ya zito haimfanyi lisu aonekane eti hajui sheria.pale alishindwa kutumia LUGHA FASAHA tu.na ni makosa ya kibinadamu,ila alifikisha ujumbe.KUHUSU SHERIA LISU ANAJUA,NA UKITAKA KUPAMBANA NA LISU KWA SHERIA JIPANGE SANA AISE,JAMAA YUKO FITI.Hata hvyo lisu hakusema zito amefukuzwa CDM,Alisema zito amefukuzwa uongozi kwenye chama chao.ni sahihi ila sema hata mimi sijazoea kusikia kauli kama hii,
 
Huu ndio unafiki wa vyombo vya habari au mleta habari. Jana nimemsikiliza mwenyewe rais akizungumza hotuba Yake. Kwa nini mnamuwekea rais wangu maneno mdomoni ambayo hakuyasema? Ni utovu wa nidhamu kwa vazi la itikadi. Aliongea maneno machache kuhusu lisu hapo kwa utani katika Hali ya kufurahia rasimu ya pili. Tuwe wakweli na tuache unafiki usio na kificho.
 
Hivi jakaya anaweza kuchambua na kujua kuwa Tundu Lissu hajui sheria?! JK ana degree moja ya uchumi (Gentlemen) yenye GPA anayoijua yeye.

Tundu Lissu ana bachelor degree with Honour kwenye sheria na ana Masters degree. Na ndio huyohuyo amewabwaga mahakamani kwenye makesi ya kubumba, hana historia ya kushindwa kesi yoyote na maccm.

Na ndio huyohuyo jk alishawahi kusema "Ni afadhari Dr Slaa awe raisi kuliko TL awe mbunge..." ina maana aliyasema hayo akiwa anajua kuwa TL hajui sheria?!

JK hana justification ya kauli zake kwa TL

Imawezekana matibabu alioenda kupata kule marekani hayajaleta tija. Namshauri arudi tena akapate matibabu.
 
Kama Lissu ajui sheria mbona CCM wanashindwa wakipambana naye kwenye ulingo wa sheria? Daaah mambo mengine tunapaswa kutumia akili sana.
 
Hivi jakaya anaweza kuchambua na kujua kuwa Tundu Lissu hajui sheria?! JK ana degree moja ya uchumi (Gentlemen) yenye GPA anayoijua yeye.

Tundu Lissu ana bachelor degree with Honour kwenye sheria na ana Masters degree. Na ndio huyohuyo amewabwaga mahakamani kwenye makesi ya kubumba, hana historia ya kushindwa kesi yoyote na maccm.

Na ndio huyohuyo jk alishawahi kusema "Ni afadhari Dr Slaa awe raisi kuliko TL awe mbunge..." ina maana aliyasema hayo akiwa anajua kuwa TL hajui sheria?!

JK hana justification ya kauli zake kwa TL

Utaacha lini kutumika? Tulijua tu utakuja na utumbo kama huu humu jamvini. Km huna hoja nyamaza kuliko kuji aibisha kama hivi.
 
Back
Top Bottom