Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Hata mie nakuunga mkono,

Wazo la mwanakijiji nililifikiria sana na nimelifanyia utafiti mwingi nikagundua solution hapa ni Serikali moja tu. Serikali 3 kuna watu wana ajenda zao tu hakuna jengine!!!

Nakubaliana na Mzee mwenzangu Mwanakijiji solution hapa ni Serikali moja hakuna jengine.
Mheshimiwa hata mimi mwanzoni nilikuwa na wazo kama hili la serikali moja. Naona hili ni tatizo la sisi watanganyika ambao tulikulia kwenye mfumo wa chama kimoja na kufundishwa somo la siasa mashuleni. Kwa mwelekeo ulivyo sasana kwa maoni ya watu wengi wantanganyika kwa wazanzibari kuongelea serikali moja ni sawa na kukinga sunami kwa mikono.
 
Jmn Kumbe Tupo Wengi hapa wanajamvi, hatujuani Na hatuonani, c ajab Kelao Yupo Kushoto kwangu
ni kweli mkuu,kuna umuhimu wa kufahamiana wanaJF.inawezekana tunaonana kila siku.pamoja sana.happy new year 2014.
 
Mie nalipa kodi milioni 3 kila mwezi jumla nawapa serikali milioni 36 kwa mwaka wewe unalipa bei gani kwa mwezi nina uchungu na kodi yangu.

acha mawazo mgango wewe! kwa taarifa yako sie tunalipa kuliko wewe ukiweka ratio.Hivi nyie maccm nchi hii mnaitakia nini? serikali mbili kwa miaka hamsini imeshindwa. Tunaka tuwe busy na maendeleo ya nchi yetu kuanzia 2015 mambo ya kujadili muungano tunataka tuyamalize by 2014 for once and for all
 
We gladly surf the waves of change. To the unprepared mind the future has come too soon.
 
RASIMU YA PILI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013 ILIYOTOLEWA TAREHE 30 DISEMBA 2013

katiba+rasimu.jpg
 
Rais ni wa watz wote, hata ufanyeje yy ndio kipenzi cha watu wengi

Uwe unaelewa, mbona umejifunga ufahamu kiasi hicho? Mimi binafsi siyo kipenzi changu na wengine wengi twiu naamini hivyo.Hivyo unashauriwa kuwa muelewa, acha ujinga. Kam,unamkubali wewe na familia yako huwezi kunilazimisha na mimi nimkubali. Umenielewa wewe k?
 
tusubiri wabunge wa ccm waje wabadili kifungu kwa kifungo mwisho waje wangapi wanapitisha rasmi ya mabadiliko ndiyooo
 
Kwani waislamu si watanzania? Kwanini wewe usihamie huko sisi tukapewa mahakama yetu ya kadhi na tukabakia na wenzio wenye kukubali uwepo wa mahakama ya kadhi. KWANINI UNA UDINI HIVI WEWE NDUGU!!!!

Wewe ndo mdini, maana suala lako linaihusu dini yako na sio la manufaa kwa watanzania wote, na unajua serikali yetu sio ya kidini why uibebeshe mzigo kodi zetu ziwalipe watu wanaofanya kazi za kidini ndugu?
 
"Watu wazima mnazungumzia serikali tatu"
maskini kabisa nyie! wakati wazungu wanazungumzia kuunganisha ulaya moja yenye nguvu@ that is nonsense primitive. mzanaki julius kambarage burito nyerere.(rip)

...mtu mzima umekariri maisha,ivi kuna muungano kati ya tanganyika na zanzibar..?nani kakwambia serikali tatu zitavunja muungano,acha kumuweka nyerere upande wa vilaza...
 
Kwani Rasimu hii ndio final, haiwezi kubadilishwa na Bunge la Katiba?
Hapana bunge la katiba lina uwezo wa marekebisho yoyote yatakayoonwa yanafaa kurekebishwa, pia wananchi watahusishwa kwenye bunge hilo kupitia taasisi, jumuiya, vyama vya siasa, wakulima, wafugaji, wafanyakazi, waajiri na mashirika mbalimbali ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali na mwisho wa katiba itapitishwa kwa kura za wananchi (referendum) za NDIYO kuikubali na HAPANA kuikataa.
 
Wanajamvi

Maandalizi yanaendelea ktk viwanja vya Ikulu

Niwasihi mvute subira tuwahabarishe na Wanajamvi walioko hapa tukio kubwa katika hatua ya utungaji wa katiba.

Ambapo Tume ya katiba watakabidhi
1.Ripoti ya utendaji wao tangia wameanza hadi tamati ya leo ndani itaeleza jinsi walivyowafikia Watanzania, Maoni ambayo hayakuwekwa kwenye rasimu,nk.

2.Rasimu ya 2 ya katiba baada ya kwanza kutoka na kujadiliwa
Ambayo Itampa Rais wa Jamhuri mamlaka pia ya kuitisha bunge la katiba liijadili hapo mwanzoni mwa 2014.

Mkuu,
Rekebisha hawakua ktk viwanja vya Ikulu...
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,
n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi

Nyie Team Zitto mnahangaika sana................ tulijua utakuja hapo kwenye RED baada ya Lissu kumpiga kichwa nyoka.

Hata hivyo kama kweli Kikwete alimtaja Tundu Lisu basi Lisu ni kiboko, magamba watakuwa wanakuna vichwa sana
 
ishi..hivi huyo kikwete c ndo aliwahi sema bora dr.slaa aende ikulu kuliko lissu aende bungeni alikuwa anaogopa nn? vp kesi nyng alizowapga chini magamba hasa za ubunge? kama huwa anajichanganya kwanini huwa anawashinda wanasheria wa serikali na magamba
 
Hivi jakaya anaweza kuchambua na kujua kuwa Tundu Lissu hajui sheria?! JK ana degree moja ya uchumi (Gentlemen) yenye GPA anayoijua yeye.

Tundu Lissu ana bachelor degree with Honour kwenye sheria na ana Masters degree. Na ndio huyohuyo amewabwaga mahakamani kwenye makesi ya kubumba, hana historia ya kushindwa kesi yoyote na maccm.

Na ndio huyohuyo jk alishawahi kusema "Ni afadhari Dr Slaa awe raisi kuliko TL awe mbunge..." ina maana aliyasema hayo akiwa anajua kuwa TL hajui sheria?!

JK hana justification ya kauli zake kwa TL
 
Sijakuelewaaa ?? Unazungumzia katiba ama issue ya Zitto ??

Inawezekana yeye na JK wamevurugwa. Ama kweli Lissu anatisha kila mkuu wa kaya anapoongelea mambo ya katiba lazima ataje jina la jembe Lissu. Inaonyesha Jk anataman TL angekua ndio mwanasheria mkuu wa tanzania.
 
Back
Top Bottom