Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.
Source:Mwananchi