Kiboko yenu CCM yaani JK aliyewagaragaza katika fikra zenu za kuiteka katiba anamtambua Lissu kuwa mwanasheria maarufu itakuwa nyie mlipwao elfu saba kwa kutwa kwa kuandika uporoto?Tundu lisu ni mwanasheria wa kawaida, hayupo katika kiwango unachomsifia wewe
Tundu lisu ni mwanasheria wa kawaida, hayupo katika kiwango unachomsifia wewe
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.
Source:Mwananchi
" wakati hSijakuelewaaa ?? Unazungumzia katiba ama issue ya Zitto ??
Ebu tuelezee hicho kiwango cha kawaida ni kipi na kisicho cha kawaida ni kipi na kwa takwimu tafadhali.
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.
Source:Mwananchi
kwani zitto ni mungu, chadema ni taasisi huyo unayemwabudu wewe ni binadamu iko siku hatakuwepo duniani lakini cdm itakuwepo ikiongozwa na watu wengine.
,zitto si mungu ata kidogo bali anamfano wa mungukwani zitto ni mungu
cdm ni taasisi au Familia ya waroho wa madaraka,na wanafiki mbele ya wasiojua?chadema ni taasisi huyo unayemwabudu wewe ni binadamu
kama itakavyo poromoka cdm na kumwacha zitto na demokrasia ya kweliko siku hatakuwepo duniani lakini cdm itakuwepo ikiongozwa na watu wengine.
Pamoja na kujichangaya, huo ni ushahidi kuwa JK anamuogopa Lisu na huenda pia anamuota ndotoni pia.
Duuh JF kuna vituko!!!Hivi kwa nini CDM wanapinga serikali tatu?.
Baada ya kumsikia Mheshiwa Rais Kikwete akirusha dongo kwa Tundu, ikanibidi nipige simu za hapa na pale kuutafuta ukweli.
Licha ya mimi binafsi kushuhudia kupitia TV siku moja bungeni Tundu baada ya kuhororoja sana akinyamazishwa kwa maneno mawili matatu na Mzee wa Vijisenti, na Tundu kuuona ukweli ikabidi atulizane huku akiona aibu. Simu nilizopiga nazo zimezaa mengine.
Kuna mtu aliyekuwepo kwenye kikao cha Ikulu cha Wanasiasa waliokwenda kumuona Rais, na Tundu katika kuongea yake, akimuiga mchungaji gani sjui, akaparanganya mambo na kutoa vifungu ambavyo havihusiki. Akawachwa abwabwaje walipoona anaendelea kuongea utumbo akaambiwa samahani kidogo, naam, magwiji wa sheria wakaanza kamuweka sawa na baada ya kujionea ukweli ulivyo, ikabidi aombe msamaha na baada ya hapo hakuongea tena mpaka kikao kinakwisha.
Ndio maana dongo la juzi ilibaki ajichekesha tu, kuna cha kuchekelea pale? uumbuliwe mbele ya Watanzania wote na wasio Watanzania waliokuwa wanashuhudua live halafu ujikeshe na usipinge lolote mpaka leo hii? halafu ni mpinzani?
Madongo aliyorushiwa hayapingiki na mpaka kesho, wiki ijayo, mwezi ujao, hamtamsikia Tundu akilalamika wala akikumbushia hilo kwani kikaoni Ikulu ilikuwa ni aibu sana kwake na kwa chama chake yaliyomkuta. Sijui kama ana hamu tena ya kurudi Ikulu hivi karibuni.
Waandishi wa habari nendeni mkamuulize Tundu alilikoroga vipi Ikulu.
Tundu, upoo? Njoo ukatae.
Baada ya kumsikia Mheshiwa Rais Kikwete akirusha dongo kwa Tundu, ikanibidi nipige simu za hapa na pale kuutafuta ukweli.
Licha ya mimi binafsi kushuhudia kupitia TV siku moja bungeni Tundu baada ya kuhororoja sana akinyamazishwa kwa maneno mawili matatu na Mzee wa Vijisenti, na Tundu kuuona ukweli ikabidi atulizane huku akiona aibu. Simu nilizopiga nazo zimezaa mengine.
Kuna mtu aliyekuwepo kwenye kikao cha Ikulu cha Wanasiasa waliokwenda kumuona Rais, na Tundu katika kuongea yake, akimuiga mchungaji gani sjui, akaparanganya mambo na kutoa vifungu ambavyo havihusiki. Akawachwa abwabwaje walipoona anaendelea kuongea utumbo akaambiwa samahani kidogo, naam, magwiji wa sheria wakaanza kamuweka sawa na baada ya kujionea ukweli ulivyo, ikabidi aombe msamaha na baada ya hapo hakuongea tena mpaka kikao kinakwisha.
Ndio maana dongo alilorushiwa na Kikwete ilibidi ajichekesha tu, kuna cha kuchekelea pale? uumbuliwe mbele ya Watanzania wote na wasio Watanzania waliokuwa wanashuhudua live halafu ujikeshe na usipinge lolote mpaka leo hii? halafu ni mpinzani?
Madongo aliyorushiwa hayapingiki na mpaka kesho, wiki ijayo, mwezi ujao, hamtamsikia Tundu akilalamika wala akikumbushia hilo kwani kikaoni Ikulu ilikuwa ni aibu sana kwake na kwa chama chake yaliyomkuta. Sijui kama ana hamu tena ya kurudi Ikulu hivi karibuni.
Waandishi wa habari nendeni mkamuulize Tundu alilikoroga vipi Ikulu.
Tundu, upoo? Njoo ukatae.
Mkuu, hili si jambo binafsi kwa vile Lissu ni mwanasheria wa CHADEMA. Hivyo kufanya kwake vizuri au kuboronga kwake kuna athari za moja kwa moja kwa chama hichoHabari za mtu binafsi zinatuhusu nini sisi, Tundu Lissu kila wakati So what, Short minded people discuss personalities, but wise people always discuss issues.
Hivi kwa nini CDM wanapinga serikali tatu?.