Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tundu lisu ni mwanasheria wa kawaida, hayupo katika kiwango unachomsifia wewe
Kiboko yenu CCM yaani JK aliyewagaragaza katika fikra zenu za kuiteka katiba anamtambua Lissu kuwa mwanasheria maarufu itakuwa nyie mlipwao elfu saba kwa kutwa kwa kuandika uporoto?
Acha kuchezea AG wa baadae Tanzania.
 
Ishu ya rasimu II ya katiba, kwa uzandiki wako imekuwa ishu ya ZZK. Yaani onapost chochote ili tu uonekane omepost huku ukiendelea kumtetea ZZK. Ngoja maamuzi ya KK.
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi

Makubwa!!! Ndugu Tema Mate, mbona ulichoandika na kilichopo kwenye gazeti la Mwananchi havishuhubiani moja kwa moja, ebu cheki hapa chini. Anyway, wenye akili zao wameshapambanua nia kamili ya uandishi wako.:

Dar es Salaam: Rais Jakaya Kikwete amempiga kijembe Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu akisema amekuwa akiwachanganya wenzake katika masuala ya kisheria.Rais Kikwete alisema hayo Dar es Salaam jana alipokuwa akizungumza katika hafla ya kupokea Rasimu ya Pili ya Katiba. “Nawaona wanasiasa wenzangu wamehudhuria hafla hii muhimu, lakini pia namwona mwanasheria maarufu ambaye wakati mwingine amekuwa akizichanganya sheria zenyewe,” alisema Rais Kikwete huku akicheka.

Source: http://mobile.mwananchi.co.tz/Habari/Rais-Kikwete-ampiga-kijembe-Tundu-Lissu/-/1597580/2
 
Sijakuelewaaa ?? Unazungumzia katiba ama issue ya Zitto ??
" wakati h
Kazungumzia Kikwete alivyomponda Lissu na kaweka mfano mzuri tu alipoongelea "akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwa sababu ya Ubunge ukweli ni kwamba Zitto kuvuliwa vyeo na hajafukuzwa chadema.

Ni nini hujakielewa, una matatizo ya ufahamu?
 
Ebu tuelezee hicho kiwango cha kawaida ni kipi na kisicho cha kawaida ni kipi na kwa takwimu tafadhali.

huwezi kunielewa maana hii si taaluma yako, wenye taaluma wamenielewa, wewe unafaa kulishwa material ya usaliti tu ndani ya chama hayo yanakufaa
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi

Pamoja na kujichangaya, huo ni ushahidi kuwa JK anamuogopa Lisu na huenda pia anamuota ndotoni pia.
 
kwani zitto ni mungu, chadema ni taasisi huyo unayemwabudu wewe ni binadamu iko siku hatakuwepo duniani lakini cdm itakuwepo ikiongozwa na watu wengine.

kwani zitto ni mungu
,zitto si mungu ata kidogo bali anamfano wa mungu
chadema ni taasisi huyo unayemwabudu wewe ni binadamu
cdm ni taasisi au Familia ya waroho wa madaraka,na wanafiki mbele ya wasiojua?
iko siku hatakuwepo duniani lakini cdm itakuwepo ikiongozwa na watu wengine.
kama itakavyo poromoka cdm na kumwacha zitto na demokrasia ya kwel
 
Pamoja na kujichangaya, huo ni ushahidi kuwa JK anamuogopa Lisu na huenda pia anamuota ndotoni pia.

TL ni mfano wa mm....bbb,,waaa aliye mawindoni alafu anabweka hovyo ambapo hupelekea kero kwa wanaowinda na mawindo kupotea,,,cdm wezi wa demokrasia
 
Baada ya kumsikia Mheshiwa Rais Kikwete akirusha dongo kwa Tundu, ikanibidi nipige simu za hapa na pale kuutafuta ukweli.

Licha ya mimi binafsi kushuhudia kupitia TV siku moja bungeni Tundu baada ya kuhororoja sana akinyamazishwa kwa maneno mawili matatu na Mzee wa Vijisenti, na Tundu kuuona ukweli ikabidi atulizane huku akiona aibu. Simu nilizopiga nazo zimezaa mengine.

Kuna mtu aliyekuwepo kwenye kikao cha Ikulu cha Wanasiasa waliokwenda kumuona Rais, na Tundu katika kuongea yake, akimuiga mchungaji gani sjui, akaparanganya mambo na kutoa vifungu ambavyo havihusiki. Akawachwa abwabwaje walipoona anaendelea kuongea utumbo akaambiwa samahani kidogo, naam, magwiji wa sheria wakaanza kamuweka sawa na baada ya kujionea ukweli ulivyo, ikabidi aombe msamaha na baada ya hapo hakuongea tena mpaka kikao kinakwisha.

Ndio maana dongo alilorushiwa na Kikwete ilibidi ajichekesha tu, kuna cha kuchekelea pale? uumbuliwe mbele ya Watanzania wote na wasio Watanzania waliokuwa wanashuhudua live halafu ujikeshe na usipinge lolote mpaka leo hii? halafu ni mpinzani?

Madongo aliyorushiwa hayapingiki na mpaka kesho, wiki ijayo, mwezi ujao, hamtamsikia Tundu akilalamika wala akikumbushia hilo kwani kikaoni Ikulu ilikuwa ni aibu sana kwake na kwa chama chake yaliyomkuta. Sijui kama ana hamu tena ya kurudi Ikulu hivi karibuni.

Waandishi wa habari nendeni mkamuulize Tundu alilikoroga vipi Ikulu.

Tundu, upoo? Njoo ukatae.
 
Ndio maana dongo la juzi ilibaki ajichekesha tu, kuna cha kuchekelea pale? uumbuliwe mbele ya Watanzania wote na wasio Watanzania waliokuwa wanashuhudua live halafu ujikeshe na usipinge lolote mpaka leo hii? halafu ni mpinzani?

Madongo aliyorushiwa hayapingiki na mpaka kesho, wiki ijayo, mwezi ujao, hamtamsikia Tundu akilalamika wala akikumbushia hilo kwani kikaoni Ikulu ilikuwa ni aibu sana kwake na kwa chama chake yaliyomkuta. Sijui kama ana hamu tena ya kurudi Ikulu hivi karibuni.

Waandishi wa habari nendeni mkamuulize Tundu alilikoroga vipi Ikulu.

Tundu, upoo? Njoo ukatae.

Habari za mtu binafsi zinatuhusu nini sisi, Tundu Lissu kila wakati So what, Short minded people discuss personalities, but wise people always discuss issues.
 
Heri ya mwaka mpya 2014 Mama. kwa leo mambo ya siasa yatatupa stress tu!
 
Hii Tabia ya kuwafananisha JK na Lissu katika Mizania ya Sheria kwa kweli ina kina dalili ya kutaka Kumdhalilisha Rais wetu jaman
 
Baada ya kumsikia Mheshiwa Rais Kikwete akirusha dongo kwa Tundu, ikanibidi nipige simu za hapa na pale kuutafuta ukweli.

Licha ya mimi binafsi kushuhudia kupitia TV siku moja bungeni Tundu baada ya kuhororoja sana akinyamazishwa kwa maneno mawili matatu na Mzee wa Vijisenti, na Tundu kuuona ukweli ikabidi atulizane huku akiona aibu. Simu nilizopiga nazo zimezaa mengine.

Kuna mtu aliyekuwepo kwenye kikao cha Ikulu cha Wanasiasa waliokwenda kumuona Rais, na Tundu katika kuongea yake, akimuiga mchungaji gani sjui, akaparanganya mambo na kutoa vifungu ambavyo havihusiki. Akawachwa abwabwaje walipoona anaendelea kuongea utumbo akaambiwa samahani kidogo, naam, magwiji wa sheria wakaanza kamuweka sawa na baada ya kujionea ukweli ulivyo, ikabidi aombe msamaha na baada ya hapo hakuongea tena mpaka kikao kinakwisha.

Ndio maana dongo alilorushiwa na Kikwete ilibidi ajichekesha tu, kuna cha kuchekelea pale? uumbuliwe mbele ya Watanzania wote na wasio Watanzania waliokuwa wanashuhudua live halafu ujikeshe na usipinge lolote mpaka leo hii? halafu ni mpinzani?

Madongo aliyorushiwa hayapingiki na mpaka kesho, wiki ijayo, mwezi ujao, hamtamsikia Tundu akilalamika wala akikumbushia hilo kwani kikaoni Ikulu ilikuwa ni aibu sana kwake na kwa chama chake yaliyomkuta. Sijui kama ana hamu tena ya kurudi Ikulu hivi karibuni.

Waandishi wa habari nendeni mkamuulize Tundu alilikoroga vipi Ikulu.

Tundu, upoo? Njoo ukatae.

Ovyoooooo
 
Habari za mtu binafsi zinatuhusu nini sisi, Tundu Lissu kila wakati So what, Short minded people discuss personalities, but wise people always discuss issues.
Mkuu, hili si jambo binafsi kwa vile Lissu ni mwanasheria wa CHADEMA. Hivyo kufanya kwake vizuri au kuboronga kwake kuna athari za moja kwa moja kwa chama hicho
 
uko inje ya mada ndo maana uliferi mtihani na kama ulikuwa una mlenga mtu umekosea hata huyo unaye mtetea akipima uwezo wako wa kufikiri atagundua kuwa wewe ni zero mada nyingine wewe unaandika usenge wako, huna cha kuandika kaa kimya siyo kila kitu lazima uandike nyie ndo wale mna saini mikataba ya kilaghai kama viongozi wa kiafrika bila kusoma heading na content kajitathimini upya uje na hoja za kuelweka
 
Back
Top Bottom