Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Kwa sababu watanzania walio wengi wanataka mfumo wa serikali tatu, na CDM ni chama cha wananchi na kinasikiliza matakwa ya wananchi wa Tanzania'wakiwemo wa "Tanganyika"

wengi kwa takwimu zipi? acha propaganda
 
Rais Kikwete kuandika historia leo.
 
"Watu wazima mnazungumzia serikali tatu"
maskini kabisa nyie! wakati wazungu wanazungumzia kuunganisha ulaya moja yenye nguvu@ that is nonsense primitive. mzanaki julius kambarage burito nyerere.(rip)
 
Kwa utawala wa kikwete na ccm,hakuna jipya zaidi zaidi wanabuni jinsi ya kushinda uchaguzi mkuu 2015 japokuwa naamini hawataweza kushinda uchaguzi wenye pamoja na katiba mbofu mbofu hiyo hiyo watakiona cha mtema kuni.
 

utasutwa kakutuma nani
 
"Watu wazima mnazungumzia serikali tatu"
maskini kabisa nyie! wakati wazungu wanazungumzia kuunganisha ulaya moja yenye nguvu@ that is nonsense primitive. mzanaki julius kambarage burito nyerere.(rip)

Kuwa na serikali tatu haimaanishi kwamba mmetengana. Marekani ni Taifa moja lakini lina States 50 na kila state lina serikali yake lakini states zote hizo zipo chini ya mwavuli mmoja uitwao federation ikiongozwa na Obama. Kuna tatizo hapo? Umoja wao uko pale pale na umoja wetu utakuwepo bila shaka yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…