Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tena TANESCO mjiheshimu hatutaki kukatiwa umeme siku ya leo!
 
Tunasubiria but this is not serious and, very unfair
 
Mtoto wa Mkulima, Mzee wa Nyuki, Mizengo Kayanza Pinda anacheka tu hapa na Ghalib Bilali!!
 
Kwenye hayo makabidhiano Tanganyika inawakilishwa na nani?
 
Rasimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba imeanza viwanja vya Karimjee, viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili.mkuu wa boma ndio anasubiriwa sasa kazi ianze
 
Clopa msuya naye yupo wamekaa na mzee mwinyi pamoja wanaongea mawili matatu
 
Jamani mwenye nayo aturushie humu fasta sana
 
Lissu;mbatia wako busy na simu!!Lipumba kwa pembeni
 
Mbatia lisu lipumba wamekaa sehemu moja wanaonekana wenye furaha sana
 
Mbona naskia tayari mambo yameanza kwanini hamtuhabarishi tena yaliyojiri., tutumieni na kopi 1 hapa tuanze kupitia nasisi
 
.....Mkuu Sio viwanja vya ikulu ni karimjee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…