Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tena TANESCO mjiheshimu hatutaki kukatiwa umeme siku ya leo!
 
Mtoto wa Mkulima, Mzee wa Nyuki, Mizengo Kayanza Pinda anacheka tu hapa na Ghalib Bilali!!
 
Rasimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba imeanza viwanja vya Karimjee, viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili.mkuu wa boma ndio anasubiriwa sasa kazi ianze
 
Clopa msuya naye yupo wamekaa na mzee mwinyi pamoja wanaongea mawili matatu
 
Mbatia lisu lipumba wamekaa sehemu moja wanaonekana wenye furaha sana
 
Mbona naskia tayari mambo yameanza kwanini hamtuhabarishi tena yaliyojiri., tutumieni na kopi 1 hapa tuanze kupitia nasisi
 
Wanajamvi

Maandalizi yanaendelea ktk viwanja vya Ikulu

Niwasihi mvute subira tuwahabarishe na Wanajamvi walioko hapa tukio kubwa katika hatua ya utungaji wa katiba.

Ambapo Tume ya katiba watakabidhi
1.Ripoti ya utendaji wao tangia wameanza hadi tamati ya leo ndani itaeleza jinsi walivyowafikia Watanzania, Maoni ambayo hayakuwekwa kwenye rasimu,nk.

2.Rasimu ya 2 ya katiba baada ya kwanza kutoka na kujadiliwa
Ambayo Itampa Rais wa Jamhuri mamlaka pia ya kuitisha bunge la katiba liijadili hapo mwanzoni mwa 2014.
.....Mkuu Sio viwanja vya ikulu ni karimjee...
 
Back
Top Bottom