Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Kwa utawala wa kikwete na ccm,hakuna jipya zaidi zaidi wanabuni jinsi ya kushinda uchaguzi mkuu 2015 japokuwa naamini hawataweza kushinda uchaguzi wenye pamoja na katiba mbofu mbofu hiyo hiyo watakiona cha mtema kuni.
Acha gongo
 
Mbona hakuna updates wadau?? Au Rasmu itakabidhiwa kimya kimya? Nchi yetu bhana, hata Ikulu haijali muda? walisema event itakuwa saa 6.00 mchana au sikusoma vizuri?
 
anaejua maana ya IFWEERO,,,,,,,,kikwetu ni nywele za m.a.ta.kni.
Acha gongo kijana, hii ni hang over ya wkend, umechanganya gongo, viroba na bhange ona sasa vilivyokuharibu ubongo na tumbo, unajamba jamba tu jukwaani
 
Acha gongo kijana, hii ni hang over ya wkend, umechanganya gongo, viroba na bhange ona sasa vilivyokuharibu ubongo na tumbo, unajamba jamba tu jukwaani

huu ni ujinga kama sio kukosa akili, why muda wote matusi au ni sifa nenda kule fb! Kwenye page uchwara
 
Kwa mujibu wj TBC-CCM habari dira ya mchana huu ni kuwa rasimu hiyo inatarajiwa kukabidhi kwa wahesimiwa marais wetu muda wowote kuanzia sasa.Tatizo la hii serikali haijali muda,sijui wanachokiogopa ni nini!wanasahau kuwa wanapoweka muda maalum wanawapa watu nafasi ya kufanya shughuli nyingine za maendeleo badala ya kukaa muda wote kweye tv kusubiri tukio ambalo huji litaanza saa ngapi.hawa watu wa kurugenzi ya habari Ikulu nao wanapaswa kuungana na Nchimbi na wenzake kuwajibishwa.wakuu muda wowote TBC 1 wanajiunga na ukumbi wa karimjee kwa ajili ya shughuli hiyo. Stay tuned!
 
TBC 1 wapo live karimjee hall sasa watch TBC 1.
 
Back
Top Bottom