ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 329
Wewe ni mkuu wa kitengo cha matusi?
Hayo si matusi.... kuwa mwelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mkuu wa kitengo cha matusi?
Mbona kikwete ajampa mkono dk salim
Mkapa hayupo hapa kumbe?
Kwenye hii thread kuna mtu ashatupia link ya star TV mkuumwenye link ya ITV please
Hata magari hayo sio moja mkuu, Source: Baba anafanya kazi Ikulu
Kwenye hii thread kuna mtu ashatupia link ya star TV mkuu
Kwani Rasimu hii ndio final, haiwezi kubadilishwa na Bunge la Katiba?
Anamawazo mkuu mda wake umeisha anatamani huu mwaka unao kuja usiishe
wamekata matangazo hawa wasukuma
Star tv washenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana, yaani wanakat wanaweka tamthiliyaaaaaaa.....aghhhhhhhhhhhha
Wewe mbona unapewa?Unapenda sana like enhe?