Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Mmmh mbona kama harufu ya Serikali tatu kupigwa chini inanukia?
 
Angalia sana usiniharibie siku wewe.

Siogopi vitisho vya mtu asiye na sitaha wala kuheshimu watu kwani mtu akiwa mwanamke ndiyo ana upungufu upi? Kama unaweza kupambana jitambulishe na si kujificha katika pazia la Wa Kusoma. Mie jina langu ni kamlili na siwezi kumuheshimu ambaye anao wenzake kuwa ni dhalili eti kutokana na jinsia yao.
 
warioba anatumia tekniki kubwa sanaa kisaikolojia kuharalisha serikali tatu anatoa maelezo marefuuuu....
 
Back
Top Bottom