Rugemeleza
JF-Expert Member
- Oct 26, 2009
- 668
- 136
We kweli mwanamke sasa picha za nn? Sasa anaongelea Muungano.
Kwani kuwa mwanamke ni kosa? Tafadhali jiheshimu kwani sote tu wazao wa wanawake na wanaume na bila mmoja hakuna mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kweli mwanamke sasa picha za nn? Sasa anaongelea Muungano.
Kwani kuwa mwanamke ni kosa? Tafadhali jiheshimu kwani sote tu wazao wa wanawake na wanaume na bila mmoja hakuna mwingine.
utajutia maneno yakoMuundo wa serikali tatu kwishnei
sina ninalo dhani....
Imepitaje mkuu wakati Jaji bado hajatangaza?Serikali tatu imepita.
Mkuu, kwani kujuta ni dhambi?utajutia maneno yako
Serikali tatu imepita.
Mmmh mbona kama harufu ya Serikali tatu kupigwa chini inanukia?
Angalia sana usiniharibie siku wewe.
muundo wa serikali tatu kwishnei
Mkuu, posho anatoa nani?pole sana pro nyinyiem, leo hakuna posho
Nina wasiwasi na Serikali tatu wamependekeza watu wengi