Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Lazima iwe hvyo kwani hata wanasiasa wali2mia muda mrefu kujadili wewe ulitegemea nini!
 
Bunge la Katiba litamuumbua Warioba na watu wake hapa hakuna serikali tatu, Wananchi tunataka serikali mbili,hatuko tayari kubeba gharama za viongozi kila kukicha.
 
Amegusia Elephant in the room au bado? Either way lazima watu kununa leo.

Wameshaanza kununa! Naona hata Raisi amechoka. Sijui kwa nini?
Naona Warioba anafafanua mazingira na sababu za msingi kuitetea kuwepo Muungano wa Serikali Tatu.
 
Madaraka ya rais hasa yale ya uteuzi yamepunguzwa,kutakuwa na vyombo vya kupendekeza uteuzi wao na hatimae kuthibitishwa na bunge.pia spika na naibu wake wasitokane na chama chochote cha siasa.pia tume ya uchaguzi itakua ni taasisi inayojitegemea.yapo mengi,kifupi rasimu hii ikipitishwa tunaweza kuja kuwa na TANZANIA tunayoitaka.Hongera jaji Warioba.

Jamaaa kweli kaamua kuisaidia TZ
 
Bunge la Katiba litamuumbua Warioba na watu wake hapa hakuna serikali tatu, Wananchi tunataka serikali mbili,hatuko tayari kubeba gharama za viongozi kila kukicha.

na hapo ndo muungano unakwenda zake,,,,,,,
 
Back
Top Bottom