Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Wananchi ndio watakaoamua.warioba anatumia tekniki kubwa sanaa kisaikolojia kuharalisha serikali tatu anatoa maelezo marefuuuu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi ndio watakaoamua.warioba anatumia tekniki kubwa sanaa kisaikolojia kuharalisha serikali tatu anatoa maelezo marefuuuu....
63% ya watanganyika wanataka serikali tatu....
warioba anatumia tekniki kubwa sanaa kisaikolojia kuharalisha serikali tatu anatoa maelezo marefuuuu....
asante mzee can you emagine wameamua kuonyesha tamthilia ya kiphilipino.......duh
leteni updates wakuu,mbona kimya?
Hivi kwa nini CCM wanachukia mfumo wa serikali tatu??
kama amecalculate kwenye 100 basi bila shaka serikali 3 ni lazima .
Amegusia Elephant in the room au bado? Either way lazima watu kununa leo.
Madaraka ya rais hasa yale ya uteuzi yamepunguzwa,kutakuwa na vyombo vya kupendekeza uteuzi wao na hatimae kuthibitishwa na bunge.pia spika na naibu wake wasitokane na chama chochote cha siasa.pia tume ya uchaguzi itakua ni taasisi inayojitegemea.yapo mengi,kifupi rasimu hii ikipitishwa tunaweza kuja kuwa na TANZANIA tunayoitaka.Hongera jaji Warioba.
Bunge la Katiba litamuumbua Warioba na watu wake hapa hakuna serikali tatu, Wananchi tunataka serikali mbili,hatuko tayari kubeba gharama za viongozi kila kukicha.
Wananchi ndio watakaoamua.