Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Mkuu, usishangilie sana. Hii ni sawa na kupewa mahindi mabichi utafune wakati hauna meno. Serikali tatu, uraia mmoja, rais mmoja, jeshi moja, polisi moja na usalama wa taifa mmoja. Umeona changamoto iliyo mbeleni?Tanganyika yetu hiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo?