Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

Watu wa ajabu sana nyie!Wote tuliuona ule utani wa rais.Lisu mwenyewe alifurahia kwa kicheko.Hivi mnataka hata watu wasitaniane jamani?Mtajakula mavi kwa chuki zenu.
 
Utaacha lini kutumika? Tulijua tu utakuja na utumbo kama huu humu jamvini. Km huna hoja nyamaza kuliko kuji aibisha kama hivi.

Wewe ndio nakuona km huna uelewa mkuu,mbona jamaa kaeleza vizuri tuu?au ndo kale kaugonjwa bado kana kusumbua!.?
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi

Temea Mate,
Hivyo ndivyo Rais alisema au ni weye unasema? Sijui ilikuwa hotuba nyingine au ni ilie ya jana? Wanahangaika kukamata wachochezi kumbe wachochezi mmo humu jf.
Mh. Rais, msamehe huyu Temea Mate, kakurupuka tu
 
yan uyo jamaa haelewi alichokiandika,au ndo sawa na yule mtafsiri wa lugha za alama kwenye kumuaga mandela>
 
Ninacho kiamini Rais Kikwete na wenzake wana muogopa sana Tundu Lisu ndo maana ya kaul kma hzo 'mwanasheria mashuhuli'!!
 
we unaelimu gani?
alikwambia nani mtu akifaulu kwa level ya juu ndo anafanya majukumu kwa usahihi?
mkuuu umevurugwa?au

Ona sasa unaanza kuhoji elimu yangu?!

Ukweli ndio huo mkuu. Jk hana justification ya kuhoji umahiri wa TL kwenye sheria.

Hivi wale majaji kanjanja aliyowataja ile ripoti yake spika alisha isoma tena?!
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi

Kama ulitizama na kusikiliza kwa makini hotuba ya Ndugu Rais, baada ya kukabidhiwa rasimu ya pili ya katiba mpya, hakumtaja mtu yeyote kwa nia mbaya kama unavyojaribu kutuaminisha, alichokisema ninanukuu, ".......ndugu zangu, tuende kwenye bunge la katiba tukiwa wamoja, nayasema haya waziwazi kwani huko nyuma niliyasema sirini nilipoteta na viongozi wa vyama vya siasa, tena namuona Prof. Lipumba, Mbatia na Mwanasheria maarufu Tundu Lissu....." mwisho wa nukuu. sasa hayo ya kuchanganya sheria yametoka wapi? au aliyasema sehemu tofauti? mara nyingine, tunapenda kusikia yale tuyapendayo sisi bila kujali uhalisia wa mambo! kama Ndugu Rais, ilivyotoa Rai, ni muhimu kujenga hoja zetu tukiwa wamoja bila kuweka interests zetu binafsi au itikadi ya vyama. Tanzania inahitaji katiba mpya, tumeshatumia gharama nyingi zilizogharamiwa na kodi za kila mmoja wetu, kila mmoja wetu katika nafasi yake anayo nafasi ya kuchangia tofali katika ujenzi wa taifa letu..
 
'If you want to kill a hyna put a poisoned meat on its way' LISU ni sumu kwa CCM-MAGAMBA.
 
Umeyota kichwani au na mwananchi nao wanajikanyaga? mbona maelezo kama hayaeleweki na hayaingii akilini hajaeleweka bado???
 
Wewe sio salama unaonekana umetoka kuoga ukajipaka majivu,Rudi tena ukaoge.
 
wee umequote gazeti la mwananchi tu au umetoa na ujinga mwingine kichwani mwako????
 
Inawezekana yeye na JK wamevurugwa. Ama kweli Lissu anatisha kila mkuu wa kaya anapoongelea mambo ya katiba lazima ataje jina la jembe Lissu. Inaonyesha Jk anataman TL angekua ndio mwanasheria mkuu wa tanzania.

Hajafikia hadhi hiyo bado.
 
Una mambo mengi kichwani wakati kichwa chenyewe ni Pentium 1 ndo maana unachanganya mambo. Si uongelee moja then mengine uyaanzishie threads zake?
 
JK kwenye mambo mengine mtavumiliana na kupigina vijembe, tatizo pekee la JK ni hili, endapo Lissu angemwambia walau Vick kamata tukutune manadani si unajua tena... kisha akafahamu hapo ndipo Jk ang'etoa maamuzi magumu na ya hatari sana
 
Mh.Rais Kikwete jana alimtolea Uvivu anayejiita Mwanasheria wa CHADEMA TUNDU LISSU kwa kuwa kinara wa Kujikanyagakanyaga kisheria anapochambua sheria kwenye mambo mbalimbali.
Rais kikwete alifikia hatua hiyo kwa kusema anawaona wanasiasa wenzake wamehudhuria tukio la Kukabidhiwa rasimu ya Katiba,Pia amemuona Lissu mwanasheria maarufu kwa kujikanganya yeye mwenyewe kwenye uchambuzi wa mambo ya kisheria.
CHADEMA najua hamtaki,Mnamuona Kila aliyejuu CHADEMA malaika lakini Ukweli ndio huo.
Mfano mdogo tu.
SIKU Lissu amasoma maamuzi ya Kamati kuu kwa Mara ya pili akiwa anatambua wazi yeye ni msomi baada ya Kisema Zitto amevuliwa vyeo vyake kwa sababu hizi na hizi.
YEYE akawa anasema Zitto hajafukuzwa CHADEMA kwasababu ya Ubunge,n.k
kwa maana hiyo Zitto alishafukuzwa CHADEMA siku nyingi,Kuvuliwa Vyeo ni Changa la Macho kwa Watanzania?
Huyo ndio Eti Mwanasheria wa CHADEMA.

Source:Mwananchi

Division 5 ni janga la Taifa, hueleweki hata ulichokiandika.
 
Back
Top Bottom