THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari Mwanajukwaa.
Nimewaza sana tena sana nikagundua hili tukio linaonesha tu kwa namna gani watu hawakubaliani na baadhi ya Mambo na kwa namna yanavyotokea tu yanatoa ujumbe kabisa kwa Rais Samia na CCM yake.
Tukio la Mnyakyusa kuchoma Picha ya Rais lilikua sio zuri in real sense kabisa na kama Rais Samia angekua anakubalika na watu huyu Mtu asingetoka Gerezan wangemwacha akione hukohuko ila haijamaliza hata 2 days mtu yupo uraiani hio inakupa picha gani wewe kama wewe hapo?
Hapa kuna funzo kubwa sana kwa Samia hata kwa Mahakama kua hawaiamini Mahakama na wanaona kama waonevu tu wana ionyesha mahakam hukumu iliotoa haiwatishi wanachangishana within a short period of time then wanapata kias kinachotakiwa wanamtoa mwenzao hiii ni Fedheha kwa Mahakama ujue ni nzuri kama hela ingetoka kwa Familia ya jamaa ila sio kwa Umma.
Na kingine Umma unamchukulia Rais nae poa tu hata Picha yake ikichomwa atajijua yeye ndio maan yake Rais hapendwi yani watu wanaona fresh picha ya Rais kuchomwa plus matusi makali.
Pia soma
- Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
#Goodmorning