Tukio la Shadrack linatoa ujumbe mkubwa sana kwa Rais Samia na Mahakama

Mwambieni achome tena picha, mtamchangia, Gatti Tv yule dogo yupo ndani mpaka leo, anahitaji two milion tu,
Wapo wale wengine wa online TV kila mtu 7ml.
Shadrack Chama kile kimepita na upepo tu ,ila hakuna lolote. 5 ml inachangwa na watu 300 tu ndugu,. Usichanganyikiwe.
 
Tutaanza kampeni ya kutoa mabango ya picha ya rais mrithi Nchi nzima.mabango yake yametuchafulia Nchi na yanatuaibisha Kwa wageni wakiwa wamekuja nchini.
mtu yoyote anayetumia wingi wakati ni maoni yake binafsi namuonaga ni mjinga
 
Habari Mwanajukwaa.
Nimewaza sana tena sana nikagundua hili tukio linaonesha tu kwa namna gani watu hawakubaliani na baadhi ya Mambo na kwa namna yanavyotokea tu yanatoa ujumbe kabisa kwa Rais Samia na CCM yake.

Tukio la Mnyakyusa kuchoma Picha ya Rais lilikua sio zuri in real sense kabisa na kama Rais Samia angekua anakubalika na watu huyu Mtu asingetoka Gerezan wangemwacha akione hukohuko ila haijamaliza hata 2 days mtu yupo uraiani hio inakupa picha gani wewe kama wewe hapo?

Hapa kuna funzo kubwa sana kwa Samia hata kwa Mahakama kua hawaiamini Mahakama na wanaona kama waonevu tu wana ionyesha mahakam hukumu iliotoa haiwatishi wanachangishana within a short period of time then wanapata kias kinachotakiwa wanamtoa mwenzao hiii ni Fedheha kwa Mahakama ujue ni nzuri kama hela ingetoka kwa Familia ya jamaa ila sio kwa Umma.

Na kingine Umma unamchukulia Rais nae poa tu hata Picha yake ikichomwa atajijua yeye ndio maan yake Rais hapendwi yani watu wanaona fresh picha ya Rais kuchomwa plus matusi makali.

Pia soma
- Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

#Goodmorning
Kuna makosa mengi kwenye post yako:
1. Richard Chaula siyo Mnyakyusa bali ni Muwanji

2. Rais Samia hahusiki na tukio hilo la shadrack Chaula bali ni Serikali ya Mkoa wa Mbeya

3. Hakufungwa kwa kuchoma picha bali kwa ku publish habari za uwongo kuwa Rais Samia hashighuliki kukemea ushoga

4. Hakuna cha ajabu kwa mtu kuchangiwa na wafuasi wa mitandao ya Twitter kwa vile wengi wamefanyiwa hivyo

5. Duniani hakuna mtu yeyote amewahi kupendwa na watu wote hata manabii wakubwa kama Muhamad (PBUH) au Yesu Kristu
 
Mwambieni achome tena picha, mtamchangia, Gatti Tv yule dogo yupo ndani mpaka leo, anahitaji two milion tu,
Wapo wale wengine wa online TV kila mtu 7ml.
Shadrack Chama kile kimepita na upepo tu ,ila hakuna lolote. 5 ml inachangwa na watu 300 tu ndugu,. Usichanganyikiwe.
Watu 300 wakisema wajitokeze uwajue kila mtu na uhakika anakua na watu 2 nyuma yake hapo ni 600 plus 300 ni 900 hicho ni kijiji kimoja
 
Kuna makosa mengi kwenye post yako:
1. Richard Chaula siyo Mnyakyusa bali ni Muwanji

2. Rais Samia hahusiki na tukio hilo la shadrack Chaula bali ni Serikali ya Mkoa wa Mbeya

3. Hakufungwa kwa kuchoma picha bali kwa ku publish habari za uwongo kuwa Rais Samia hashighuliki kukemea ushoga

4. Hakuna cha ajabu kwa mtu kuchangiwa na wafuasi wa mitandao ya Twitter kwa vile wengi wamefanyiwa hivyo

5. Duniani hakuna mtu yeyote amewahi kupendwa na watu wote hata manabii wakubwa kama Muhamad (PBUH) au Yesu Kristu
Hoja zako hazina Hoja.

Rais kadhalilishwa ndio hivo na hio dharau watu tunafurahia so Rais hayupo kwa mioyo ya watu Full stop.

Hata kama waliochanga ni 300 ila ina reflect kitu flan hiv.
 
Kwani wewe umeiona hati ya mashataka? Hilo la kudhalilishwa ni la kwako wewe
 
  • Thanks
Reactions: I M
Hoja zako hazina Hoja.

Rais kadhalilishwa ndio hivo na hio dharau watu tunafurahia so Rais hayupo kwa mioyo ya watu Full stop.

Hata kama waliochanga ni 300 ila ina reflect kitu flan hiv.
Mioyo ya watu wachache tu , ndio masna kuna vyama vya upinzani , kumbuka tanzania tupo around watu around 65m , ukizungumzia mia tatu ni punje tu so acha wajifurahishe hawataweza kubadilisha chochote
 
Kilichonishangaza mimi ni jinsi kesi ilivyoendeshwa. Yaani hata wiki haikuisha dogo keshapigwa mvua tayari. Kumbe mahakama zetu zinaweza kuwa efficient zikiamua.
 
Habari Mwanajukwaa.
Nimewaza sana tena sana nikagundua hili tukio linaonesha tu kwa namna gani watu hawakubaliani na baadhi ya Mambo na kwa namna yanavyotokea tu yanatoa ujumbe kabisa kwa Rais Samia na CCM yake.

Tukio la Mnyakyusa kuchoma Picha ya Rais lilikua sio zuri in real sense kabisa na kama Rais Samia angekua anakubalika na watu huyu Mtu asingetoka Gerezan wangemwacha akione hukohuko ila haijamaliza hata 2 days mtu yupo uraiani hio inakupa picha gani wewe kama wewe hapo?

Hapa kuna funzo kubwa sana kwa Samia hata kwa Mahakama kua hawaiamini Mahakama na wanaona kama waonevu tu wana ionyesha mahakam hukumu iliotoa haiwatishi wanachangishana within a short period of time then wanapata kias kinachotakiwa wanamtoa mwenzao hiii ni Fedheha kwa Mahakama ujue ni nzuri kama hela ingetoka kwa Familia ya jamaa ila sio kwa Umma.

Na kingine Umma unamchukulia Rais nae poa tu hata Picha yake ikichomwa atajijua yeye ndio maan yake Rais hapendwi yani watu wanaona fresh picha ya Rais kuchomwa plus matusi makali.

Pia soma
- Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

#Goodmorning
wanatakiwa kujisikia aibu sana.
 
Watu 300 wakisema wajitokeze uwajue kila mtu na uhakika anakua na watu 2 nyuma yake hapo ni 600 plus 300 ni 900 hicho ni kijiji kimoja
Uko sahihi. But it doesn't prove any of the movement. Mimi nimehusika michango yote mitatu twitter. Lakini, i did. Because i could. Siikua na intention yyte. Nilichanga kwasababu nilikua na uwezo at the time. Ila vijana watulie, waache usng. Kule jela kuna watu wanatamani wasiingie. Ila mambo madogo yamewapeleka. Na hawatoki jn any means. Vijana wa bongo. Wakitaka waone jiinsi activists. Wanavyofanya mambo. Sio kipuuzi vile.
 
Hili tukio la huyu mnyakyusa kuchangiwa faini na kutoka linatuma ujumbe kwamba yale mapendekezo ya Tume ya haki jinai yafanyiwe kazi haraka sana. Wananchi hawakubaliani na hali ya utoaji hukumu na haki jinai kwa sasa.

Ila kwa mheshimiwa pia kuna ujumne kwamba kuna mambo hayako sawa mahali ayabadilishe . Ila si lazima kiongozi upendwe na wote tunaona kina Biden huko wasivyopendwa na hakuna shida
 
Back
Top Bottom