Tukio la Shadrack linatoa ujumbe mkubwa sana kwa Rais Samia na Mahakama

Tukio la Shadrack linatoa ujumbe mkubwa sana kwa Rais Samia na Mahakama

Hili tukio la huyu mnyakyusa kuchangiwa faini na kutoka linatuma ujumbe kwamba yale mapendekezo ya Tume ya haki jinai yafanyiwe kazi haraka sana. Wananchi hawakubaliani na hali ya utoaji hukumu na haki jinai kwa sasa.

Ila kwa mheshimiwa pia kuna ujumne kwamba kuna mambo hayako sawa mahali ayabadilishe . Ila si lazima kiongozi upendwe na wote tunaona kina Biden huko wasivyopendwa na hakuna shida
Ila hii ina ujumbe sana na vizur hata wewe umeuona.

Hii itawaumiza sana waliotaka jamaa afungwe.
 
Uko sahihi. But it doesn't prove any of the movement. Mimi nimehusika michango yote mitatu twitter. Lakini, i did. Because i could. Siikua na intention yyte. Nilichanga kwasababu nilikua na uwezo at the time. Ila vijana watulie, waache usng. Kule jela kuna watu wanatamani wasiingie. Ila mambo madogo yamewapeleka. Na hawatoki jn any means. Vijana wa bongo. Wakitaka waone jiinsi activists. Wanavyofanya mambo. Sio kipuuzi vile.
Sawa ilikua kipuuzi ila kuna kitu kinatumwa hapa na sina imani kama wewe umehusika katika michango yote 3 leta ushahidi hapa.
 
Mioyo ya watu wachache tu , ndio masna kuna vyama vya upinzani , kumbuka tanzania tupo around watu around 65m , ukizungumzia mia tatu ni punje tu so acha wajifurahishe hawataweza kubadilisha chochote
Unaumia sana polee ila raha mlitaka jamaa afungwe ili muutishe umma
 
  • Thanks
Reactions: I M
kumbe ww ni kiazi kiasi icho
Nchi inaendeshwa kwa sheria, taratibu, kanuni na katiba.

Kwa kitendo kilichotokea imeonesha na imesibitisha ni kias gan raisi anahesimu sheria, katiba na kanuni za nchi

Ttzo la watanzania weng bado tunaishi kwa kumtukuza marehemu jiwe.

Sema tu ingekua uongozi wa jiwe huyo jamaa angeozea ndan sabu watu waliishi wa uoga na sio kufuata sheria na katiba vinasema nn
 
Unaumia sana polee ila raha mlitaka jamaa afungwe ili muutishe umma
Mimi sijataka afungwe ila vijana wajifunze adabu huwezi kuamka tu umeshiba makande unaanza kumdhihaki raisi, ni kukosa hekima tu ,raisi hata aje obama hii nchi ina matatizo mengi kuliko raisi, sisi wenyewe tubadilike kwanza watanzania 95% sio waaminifu akipata mwanya tu anawaza kuiba, ukabila na kadhalika halafu kutwa kumlaumu raisi, ujinga mtupu apambane na hali yake
 
Habari Mwanajukwaa.
Nimewaza sana tena sana nikagundua hili tukio linaonesha tu kwa namna gani watu hawakubaliani na baadhi ya Mambo na kwa namna yanavyotokea tu yanatoa ujumbe kabisa kwa Rais Samia na CCM yake.

Tukio la Mnyakyusa kuchoma Picha ya Rais lilikua sio zuri in real sense kabisa na kama Rais Samia angekua anakubalika na watu huyu Mtu asingetoka Gerezan wangemwacha akione hukohuko ila haijamaliza hata 2 days mtu yupo uraiani hio inakupa picha gani wewe kama wewe hapo?

Hapa kuna funzo kubwa sana kwa Samia hata kwa Mahakama kua hawaiamini Mahakama na wanaona kama waonevu tu wana ionyesha mahakam hukumu iliotoa haiwatishi wanachangishana within a short period of time then wanapata kias kinachotakiwa wanamtoa mwenzao hiii ni Fedheha kwa Mahakama ujue ni nzuri kama hela ingetoka kwa Familia ya jamaa ila sio kwa Umma.

Na kingine Umma unamchukulia Rais nae poa tu hata Picha yake ikichomwa atajijua yeye ndio maan yake Rais hapendwi yani watu wanaona fresh picha ya Rais kuchomwa plus matusi makali.

Pia soma
- Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

#Goodmorning
si kweli
 
Ukiwa Kiongozi siku zote unatakiwa kujua huwezi kupendwa na watu wote unaowaongoza. Maana kila binadamu kaumbwa na fikra,akili na matamanio yake.
Pia kama wewe ni Kiongozi na umeshika dini haswaa huwezi kuumia wala kusikitika endapo utatukanwa ama kudhihakiwa maana wapo binadamu ambao waliwatukana na kuwadhihaki mitume na manabii wa Mwenyezi Mungu.
Mfano kwa kiongozi mkristo anapaswa kujiuliza kama watu walimtukana na kumkebei Bwana Yesu ila alisamehe, wewe ni nani katika dunia hii usipate changamoto za kutukanwa na kukejeliwa katika dunia hii!!?.
 
Ahahahahah tembo anatumia sana mjani.... Koh koh koh yao yao
Nimejaribu kuchallenge tu,Mamlaka za wanyamapori zifanye kazi Yao inavyotakiwa.
Mambo ya Tembo kuua watu na kuharibu mashamba kwa kigezo kuwa Wananchi wanakaa kwenye shoroba za Tembo hazikubaliki Wala hazina mantiki.
Kama wameamua kuhifadhi wanyama,wakubali pia gharama za kuwalinda wasidhuru watu.
 
Mimi sijataka afungwe ila vijana wajifunze adabu huwezi kuamka tu umeshiba makande unaanza kumdhihaki raisi, ni kukosa hekima tu ,raisi hata aje obama hii nchi ina matatizo mengi kuliko raisi, sisi wenyewe tubadilike kwanza watanzania 95% sio waaminifu akipata mwanya tu anawaza kuiba, ukabila na kadhalika halafu kutwa kumlaumu raisi, ujinga mtupu apambane na hali yake
Je, Rais mwenyewe anaheshimu kiti cha urais? Maana ilivyo heshima ni kwa wenye kujiheshimu.
 
Back
Top Bottom