Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Hapo mkuu nimekuelewa kumbe unaongea from experience banaNajua Niko sahihi,Babu zangu wameishi Jirani na hifadhi kwa miaka mingi.Nayajua madhila Yao Tembo,nimeyaishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mkuu nimekuelewa kumbe unaongea from experience banaNajua Niko sahihi,Babu zangu wameishi Jirani na hifadhi kwa miaka mingi.Nayajua madhila Yao Tembo,nimeyaishi.
Sawa asante kwa masahihisho karibu katika mjadalaC
Chaula sio mnyakyusa ni Mkinga au Mbena, Tukuyu ni metropolitan district
Hakimu alitenda haki kufunga au fine, huyu Ni genius yaani alifata maagizo ya chawa kisha akajiongezaHabari Mwanajukwaa.
Nimewaza sana tena sana nikagundua hili tukio linaonesha tu kwa namna gani watu hawakubaliani na baadhi ya Mambo na kwa namna yanavyotokea tu yanatoa ujumbe kabisa kwa Rais Samia na CCM yake.
Tukio la Mnyakyusa kuchoma Picha ya Rais lilikua sio zuri in real sense kabisa na kama Rais Samia angekua anakubalika na watu huyu Mtu asingetoka Gerezan wangemwacha akione hukohuko ila haijamaliza hata 2 days mtu yupo uraiani hio inakupa picha gani wewe kama wewe hapo?
Hapa kuna funzo kubwa sana kwa Samia hata kwa Mahakama kua hawaiamini Mahakama na wanaona kama waonevu tu wana ionyesha mahakam hukumu iliotoa haiwatishi wanachangishana within a short period of time then wanapata kias kinachotakiwa wanamtoa mwenzao hiii ni Fedheha kwa Mahakama ujue ni nzuri kama hela ingetoka kwa Familia ya jamaa ila sio kwa Umma.
Na kingine Umma unamchukulia Rais nae poa tu hata Picha yake ikichomwa atajijua yeye ndio maan yake Rais hapendwi yani watu wanaona fresh picha ya Rais kuchomwa plus matusi makali.
Pia soma
- Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
#Goodmorning
Ni watu kutoelewa kuwa duniani hata hapa nchini kuna vichaa, waache wapumue na mahakama siyo jibu.Kwani picha ina thamani au umuhimu gani mpaka kuichoma iwe kosa la jinai?
Hata mimi nimependa busara waliyotumia mahakama wameona njia ya kumsamehe ni kumuwekea option ya kwenda jela au kutoa faini.Inawezekana uko sahihi.
Mosi,hakuna Kiongozi anayependwa na watu wote.
Pili,ukisema Watanzania kwa ujumla wetu wote ndio tumechanga pia sio sahihi.
Tatu,waliochanga haina maana wamefurahishwa na alichokifanya.
Nne,naipongeza Mahakama kwa kutenda Haki.Imeacha option ya kulipa faini wazi kama Sheria ilivyotaka.
Kwa tulipofikia ilikuwa ni wazi tu hiyo faini ya Milioni Tano dogo angelipiwa.
Kama ingekuwa wakati wa mwendazake,wangetoa kifungo tu bila hata option ya faini na hakuna ambaye angesema chochote.
Kwenye utoaji Haki,"mchomwa moto" anajitahidi.
Pole.Je unajuwa nani katowa hizo pesa?
Inawezekana ikulu imetowa pesa.
Sie waisilamu mtume wetu alitukanwa sana wakati wa zamazake, lakini alikuwa anawasamwhe wate wanafanfanya hivyo na kuwatuliza watu wake wasi chukuwe hatuwa.
Kwahio aling'ata na kupuliza😂Hakimu alitenda haki kufunga au fine, huyu Ni genius yaani alifata maagizo ya chawa kisha akajiongeza
Kila nilikuwa nakutana nae unapozungumzia sula.la Shadrack anaonyesha kufurahia kwamba amefanya vizuri kuchoma ili ajue kwamba Madam hakubaliki. Maisha yamekuwa magumu sana watu wanaishi maisha magumu uonevu, dhuluma hakuna haki, misafari tuu kazi kutumia hela za serikali kwa masafari plus mikopo ambayo itakuja kuwa shida kwa kizazi cha baadae.Habari Mwanajukwaa.
Nimewaza sana tena sana nikagundua hili tukio linaonesha tu kwa namna gani watu hawakubaliani na baadhi ya Mambo na kwa namna yanavyotokea tu yanatoa ujumbe kabisa kwa Rais Samia na CCM yake.
Tukio la Mnyakyusa kuchoma Picha ya Rais lilikua sio zuri in real sense kabisa na kama Rais Samia angekua anakubalika na watu huyu Mtu asingetoka Gerezan wangemwacha akione hukohuko ila haijamaliza hata 2 days mtu yupo uraiani hio inakupa picha gani wewe kama wewe hapo?
Hapa kuna funzo kubwa sana kwa Samia hata kwa Mahakama kua hawaiamini Mahakama na wanaona kama waonevu tu wana ionyesha mahakam hukumu iliotoa haiwatishi wanachangishana within a short period of time then wanapata kias kinachotakiwa wanamtoa mwenzao hiii ni Fedheha kwa Mahakama ujue ni nzuri kama hela ingetoka kwa Familia ya jamaa ila sio kwa Umma.
Na kingine Umma unamchukulia Rais nae poa tu hata Picha yake ikichomwa atajijua yeye ndio maan yake Rais hapendwi yani watu wanaona fresh picha ya Rais kuchomwa plus matusi makali.
Pia soma
- Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
#Goodmorning
Kwa hiyo ulitakaje? Kesi imeisha na wewe unachochea nini?Habari Mwanajukwaa.