Tukio la Shadrack linatoa ujumbe mkubwa sana kwa Rais Samia na Mahakama

Ila hii ina ujumbe sana na vizur hata wewe umeuona.

Hii itawaumiza sana waliotaka jamaa afungwe.
 
Sawa ilikua kipuuzi ila kuna kitu kinatumwa hapa na sina imani kama wewe umehusika katika michango yote 3 leta ushahidi hapa.
 
Mioyo ya watu wachache tu , ndio masna kuna vyama vya upinzani , kumbuka tanzania tupo around watu around 65m , ukizungumzia mia tatu ni punje tu so acha wajifurahishe hawataweza kubadilisha chochote
Unaumia sana polee ila raha mlitaka jamaa afungwe ili muutishe umma
 
Reactions: I M
kumbe ww ni kiazi kiasi icho
Nchi inaendeshwa kwa sheria, taratibu, kanuni na katiba.

Kwa kitendo kilichotokea imeonesha na imesibitisha ni kias gan raisi anahesimu sheria, katiba na kanuni za nchi

Ttzo la watanzania weng bado tunaishi kwa kumtukuza marehemu jiwe.

Sema tu ingekua uongozi wa jiwe huyo jamaa angeozea ndan sabu watu waliishi wa uoga na sio kufuata sheria na katiba vinasema nn
 
Unaumia sana polee ila raha mlitaka jamaa afungwe ili muutishe umma
Mimi sijataka afungwe ila vijana wajifunze adabu huwezi kuamka tu umeshiba makande unaanza kumdhihaki raisi, ni kukosa hekima tu ,raisi hata aje obama hii nchi ina matatizo mengi kuliko raisi, sisi wenyewe tubadilike kwanza watanzania 95% sio waaminifu akipata mwanya tu anawaza kuiba, ukabila na kadhalika halafu kutwa kumlaumu raisi, ujinga mtupu apambane na hali yake
 
si kweli
 
Ukiwa Kiongozi siku zote unatakiwa kujua huwezi kupendwa na watu wote unaowaongoza. Maana kila binadamu kaumbwa na fikra,akili na matamanio yake.
Pia kama wewe ni Kiongozi na umeshika dini haswaa huwezi kuumia wala kusikitika endapo utatukanwa ama kudhihakiwa maana wapo binadamu ambao waliwatukana na kuwadhihaki mitume na manabii wa Mwenyezi Mungu.
Mfano kwa kiongozi mkristo anapaswa kujiuliza kama watu walimtukana na kumkebei Bwana Yesu ila alisamehe, wewe ni nani katika dunia hii usipate changamoto za kutukanwa na kukejeliwa katika dunia hii!!?.
 
Ahahahahah tembo anatumia sana mjani.... Koh koh koh yao yao
Nimejaribu kuchallenge tu,Mamlaka za wanyamapori zifanye kazi Yao inavyotakiwa.
Mambo ya Tembo kuua watu na kuharibu mashamba kwa kigezo kuwa Wananchi wanakaa kwenye shoroba za Tembo hazikubaliki Wala hazina mantiki.
Kama wameamua kuhifadhi wanyama,wakubali pia gharama za kuwalinda wasidhuru watu.
 
Je, Rais mwenyewe anaheshimu kiti cha urais? Maana ilivyo heshima ni kwa wenye kujiheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…