Tukio la Shadrack linatoa ujumbe mkubwa sana kwa Rais Samia na Mahakama

Hakimu alitenda haki kufunga au fine, huyu Ni genius yaani alifata maagizo ya chawa kisha akajiongeza
 
Kwani picha ina thamani au umuhimu gani mpaka kuichoma iwe kosa la jinai?
Ni watu kutoelewa kuwa duniani hata hapa nchini kuna vichaa, waache wapumue na mahakama siyo jibu.
Margaret Thatcher waziri mkuu wa Uingereza aliwahi kutaniwa, yeye akasema hao wehu tu!
 
Hata mimi nimependa busara waliyotumia mahakama wameona njia ya kumsamehe ni kumuwekea option ya kwenda jela au kutoa faini.
Hii inaonyesha hata hao wenyewe hawakupenda kumuhukumu na hawakuona kosa lenye uzito sema tu hawakuwa na jinsi kwa sababu machawa wenye viherehere washaharibu tayari na hawataki kuonekana wamempuuzia Rais.
 
Je unajuwa nani katowa hizo pesa?
Inawezekana ikulu imetowa pesa.
Sie waisilamu mtume wetu alitukanwa sana wakati wa zamazake, lakini alikuwa anawasamwhe wate wanafanfanya hivyo na kuwatuliza watu wake wasi chukuwe hatuwa.
Pole.
 
Kila nilikuwa nakutana nae unapozungumzia sula.la Shadrack anaonyesha kufurahia kwamba amefanya vizuri kuchoma ili ajue kwamba Madam hakubaliki. Maisha yamekuwa magumu sana watu wanaishi maisha magumu uonevu, dhuluma hakuna haki, misafari tuu kazi kutumia hela za serikali kwa masafari plus mikopo ambayo itakuja kuwa shida kwa kizazi cha baadae.

Kwa kweli, ni kumuomba Mungu atupe namna ya kupata mtu atakae tufikisha kanani vzr
 
Kwa hiyo ulitakaje? Kesi imeisha na wewe unachochea nini?
 
Nafikiri mtuhumiwa alikiri kosa ndiyo maana kesi imeishq mapema. Ukikiri kosa hakuna haja ya kuita mashahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…