Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi ni ukumbusho tosha kuwa Mungu anaishi

Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi ni ukumbusho tosha kuwa Mungu anaishi

Mungu hatakaa aeleweke na akili hizi za kibinaadam.

maana akilo zetu zinadhani kifo ni adhabu.
 
Ni kweli. Kupona kwa TL ni muujiza.
 
Halafu tunaambiwa kuwa nchi ina mihimili 3 ya utawala bora kumbe kuna mmoja tu,speaker amejikunyata kama kifaranga kilichokoswa koswa na Rapptor! Judiciary nao hawakujibu statement hii,nashangaa sasa judge chande he also got his voice back, salute kwa TISS ya awamu ya kwanza kwa sababu ilikua makini sana ,huyu asingekua president kabisa
 
Ukiwa mtu wa Logic mambo mengi utayaangalia kwa mtizamo tofauti...

Kwahio Mungu ni wa Ghadhabu Visasi n.k.

Na hizo Ghadhabu anazitoa kwa aina gani na kwa nani (sababu kama ni kifo kila mtu atakufa na kuna watu wazuri wanakufa Kifo kibaya zaidi)

Na hawa majority wanaopata shida sasa huku mtaani na Matozo, Kule Ukraine na Vita (wao walimkosea nini ) !!!

Ukiangalia sana hizi happenstances za duniani, binadamu mwenyewe ndio causative ila kama Imani hio ya kwamba Dua la Kuku litampata Mwewe au unapigika sababu umepangiwa (vinakufanya ulale usiku kwa matumaini) basi its all good....
 
Back
Top Bottom