Ukiwa mtu wa Logic mambo mengi utayaangalia kwa mtizamo tofauti...
Kwahio Mungu ni wa Ghadhabu Visasi n.k.
Na hizo Ghadhabu anazitoa kwa aina gani na kwa nani (sababu kama ni kifo kila mtu atakufa na kuna watu wazuri wanakufa Kifo kibaya zaidi)
Na hawa majority wanaopata shida sasa huku mtaani na Matozo, Kule Ukraine na Vita (wao walimkosea nini ) !!!
Ukiangalia sana hizi happenstances za duniani, binadamu mwenyewe ndio causative ila kama Imani hio ya kwamba Dua la Kuku litampata Mwewe au unapigika sababu umepangiwa (vinakufanya ulale usiku kwa matumaini) basi its all good....