Tukio la utata Kupotea kwa rubani wa Australia 1978

Daah haya mambo ya UFO nilikuaga interested nayo kinoma enzi izo. Ila niliona mengi ni story za kufikirika mno.

Ikafika hatua kila kitu kikitokea kisichoelewekaeleweka basi alliens wanasingiziwa.
Kama wapo kweli hao alliens watakuja kuonekana tu.
 
Huwaga nahisi location ya UFO ni kama wakanda.. tupo nao ila kuna transparent barrier kwahiyo ndo mana kuna wakati watu wanapotea wanaingia huko, ila wao wana uhuru wa kuja huku sisi ndo hatujui walipo.
 
Huwaga nahisi location ya UFO ni kama wakanda.. tupo nao ila kuna transparent barrier kwahiyo ndo mana kuna wakati watu wanapotea wanaingia huko, ila wao wana uhuru wa kuja huku sisi ndo hatujui walipo.
mkuu inawezekana maana hata Gambosh ni Kijiji ila Kuna watu wanadai walishaona Jiji kubwa New York ikasome Sasa unajiuliza haya mambo yapo kivipi
Nakumbuka radio free miaka ya nyuma kwenye kipindi Cha sitosahau Kuna jamaa anaitwa zabron alielezea mengi sana ya kustaabisha na baadhi yake yanafanana na Ile nchi Wakanda kwenye Black Panther ambayo ilikuja Toka miaka Kama 7 mbele ila yanafanana!
 

Kaka kama unaikumbuka hiyo story ya zabron ifungulie uzi basi nasi tufahamu, napenda sana kufuatilia hizi taarifa za UFO
 

Mkuu bora ungetaja ili mtu akipita hiyo njia aje akae hapo hata siku mbili & tatu hivi aone kama atabahatisha kuona. Ila kama unakataa kusema hilo eneo kwasababu za kiusalama basi sawa. Niliwahi kusoma mahali ziliwahi kuonekana huko Zimbabwe
 
Kaka kama unaikumbuka hiyo story ya zabron ifungulie uzi basi nasi tufahamu, napenda sana kufuatilia hizi taarifa za UFO
mkuu Ile story yake ilisimuliwa kitambo kidogo ila jamaa ana vitabu vyake kaviandika Kama unaweza unaweza vitafute madukani utapata vina mambo mengi ya kuushangaaza ulimwengu Moja kati ya simulizi yake anadai huko Gambosh Kuna Kila Aina ya viumbe kuanzia binadamu, hybrids za binadamu,Majini ya Kila Aina,na viumbe vya maajabu maajabu anadai Kule ni Kama Dunia nyingine mfano wake ni Ile zile Movie za Men in Black Kwa macho haionekani mbaka upate mwaliko maalum Cha kushangaza ni Ile technolojia Yao ya ajabu kusafiri kiwakati(time travel)
Yaani Kama upo Dar kwenda Mwanza ni kufumba na kufumbua tu,anadai huko Kuna viumbe Kama ma vimpire ni Immortal wanatumia fresh blood kuishi miaka maelfu,
Kingine ni zile nguvu zao dark power alidai waliwahi kwenda milima ya Senkenke Kama sikosei kuchukua damu za raia kilichofanywa ni kutengeneza ajari kimiujiza sana anadai yule ajenti aliyetumwa anafimbo ya ajabu anainyoosha na kuipindisha Barabara kimiujiza inakua inaelekea makorongoni inatokea ajari mbaya ya kutisha!

Yaani zile story zake zilikaa Kama Myth flani ila nilichostaajabu zinafanana na movie za Holiwood za Hivi karibuni Kama black panther na Men in Black!
 
una shangaa nini mbona sokoine alipotea kimaajabuuu!! aligongwaje kwenye msafara wa magari meeengi vile! na ulinzi juuu! eti afe yeye tuuu!
Unaamsha walio lala
Full escort na pm anagowa na kufa
By then ndio alikuwa kama vice president
 
Unaamsha walio lala
Full escort na pm anagowa na kufa
By then ndio alikuwa kama vice president
Hii kitu ni intel kali sana Nyerere tunamdai ufafanuzi juu ya hili. Kuna uzi humu ulishawahi kuandikwa kuhusu kifo cha sokoine
 
Miaka ya 1980's waafrika walikuwa wakiambiwa itafikia kipindi mtu atakuwa anaongea na mwenzake kutoka bara moja mpaka jingine huku wakionana walikuwa lazima wakuone chizi. Kununua bidhaa kutoka abroad kwa kubofya simu tu hata ukiwa chooni na baada ya muda bidhaa yako kuletewa mpaka ulipo lilikuwa haliwezekani lakini yote hayo leo yanawezekana na waliofanikisha hayo sasa wanatukuzwa.
Mtu mweusi haamini mpaka aone kwa macho yake which is bullshit!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…