Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Alizama ama??Alikuwa beach anaogelea ndio ikawa jumla hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alizama ama??Alikuwa beach anaogelea ndio ikawa jumla hiyo.
YeahAlizama ama??
Australia hadi waziri mkuu aliwahi kupotea..
Nchi ya ajabu s
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]hadi waziri Mkuu??Australia hadi waziri mkuu aliwahi kupotea..
Nchi ya ajabu sana
Du!!!Alikuwa beach anaogelea ndio ikawa jumla hiyo.
Duuh aiseeYeah
mkuu inawezekana maana hata Gambosh ni Kijiji ila Kuna watu wanadai walishaona Jiji kubwa New York ikasome Sasa unajiuliza haya mambo yapo kivipiHuwaga nahisi location ya UFO ni kama wakanda.. tupo nao ila kuna transparent barrier kwahiyo ndo mana kuna wakati watu wanapotea wanaingia huko, ila wao wana uhuru wa kuja huku sisi ndo hatujui walipo.
AiseeeDuu hatari sana asante kwa kushare,ila inatafakarisha sana juu ya UFO na hao Alien mkuu!
mkuu inawezekana maana hata Gambosh ni Kijiji ila Kuna watu wanadai walishaona Jiji kubwa New York ikasome Sasa unajiuliza haya mambo yapo kivipi
Nakumbuka radio free miaka ya nyuma kwenye kipindi Cha sitosahau Kuna jamaa anaitwa zabron alielezea mengi sana ya kustaabisha na baadhi yake yanafanana na Ile nchi Wakanda kwenye Black Panther ambayo ilikuja Toka miaka Kama 7 mbele ila yanafanana!
UFO sio Aliens naungana na wewe, hizi frying Object wamezitumia sana wajerumani kipindi cha vita ya pili sijui ya kwanza, na yapo mashirika ya siri uanamiliki hizi ndude wakishirikiana na viumbe wengine miaka na miaka, na zaidi ni kwamba, hizo UFO hata hapa Tanzania baadhi ya maeneo huwa zinaonekana, na kama hujabahatika kuziona ata kwa mbaali basi fahamu ni suala la muda tu, mwezi uliopita, mwezi wa saba tarehe 22, location Unknown, nimeliona moja live bila ya chenga, Morogoro kusini.
Pia nishawah ona tukio la kuinuliwa semi ktk pori la ushirombo, semi imebebwa juu usawa wa nguzo mbili za umeme, limechanwa container na ikapigwa kikumbo kimoja matata sana kurudishwa chini, sijui waliopima ile ajati waliandika repoti gani...kuhusu haya madide anayebisha ni yule anayetaka tu kushuhudia kwa macho ya nyama ila yapo sana...
Nilikoyaona hayo madude yasiyoeleweka.
Mwanza
Morogoro kusini ( sitapataja jina ni mji upi hasa )
Ushirombo.
mkuu Ile story yake ilisimuliwa kitambo kidogo ila jamaa ana vitabu vyake kaviandika Kama unaweza unaweza vitafute madukani utapata vina mambo mengi ya kuushangaaza ulimwengu Moja kati ya simulizi yake anadai huko Gambosh Kuna Kila Aina ya viumbe kuanzia binadamu, hybrids za binadamu,Majini ya Kila Aina,na viumbe vya maajabu maajabu anadai Kule ni Kama Dunia nyingine mfano wake ni Ile zile Movie za Men in Black Kwa macho haionekani mbaka upate mwaliko maalum Cha kushangaza ni Ile technolojia Yao ya ajabu kusafiri kiwakati(time travel)Kaka kama unaikumbuka hiyo story ya zabron ifungulie uzi basi nasi tufahamu, napenda sana kufuatilia hizi taarifa za UFO
una shangaa nini mbona sokoine alipotea kimaajabuuu!! aligongwaje kwenye msafara wa magari meeengi vile! na ulinzi juuu! eti afe yeye tuuu![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]hadi waziri Mkuu??
Unaamsha walio lalauna shangaa nini mbona sokoine alipotea kimaajabuuu!! aligongwaje kwenye msafara wa magari meeengi vile! na ulinzi juuu! eti afe yeye tuuu!