Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio bila shaka
Dejavu hyo ,mimi ni kawaida nshazoeaMsaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka
Inaanza uko maeneo fulani ukiwa na mtu fulani, wakati unamalizia mazungumzo, ndipo unakumbuka kuwa hayo maneno umewahi yatamka kabla. Hata eneo ulilopo ndilo lile lile, pia mtu unayezungumza naye ni yule yule au mtu anayeendana hobies na uliyozungumza naye mwanzoni
Au unapita mahali unakutana na tukio amabalo umewahi kukutana nalo kabla. Hata majibizano ya watu yanayoendelea ni yaleyale ya kipindi hicho. Unapojaribu kufungua mdomo kuzungumza, unajikuta unazungumza yale yale uliyowahi kuzungumza. Unabaki unashangaa tu
Hii hali husababishwa na nini wakuu?
Je, tukio la kwanza kabla, lilikuwa ni ndoto? Au liliwahi tokea kweli? Au ni mawenge tu? Au naumwa malaria? Maake sielewi hata limekuja vipi, yaani from nowhere
Nikijaribu kumuuliza huyo ninayezungumza naye kwamba haoni kama tunafanya marudio?, anaishia kusema nipunguze wenge au kucheka tu
Naombeni ufafanuzi wakuu
N.B: Situmii mihadarati
Mtume hakundisha hii kituHiyo ndiyo ukisikia "deja vu".
Mi sio mlevi na sijawahi husa pombe maishani , lakini hali hii pia hunitokeaULEVI. Ni sawa na ukiota unakojoa halafu uwe unakojoa kitandani kila siku. Ulevi ni chanzo kikuu. Punguza pombe.
Umesoma hiyo mistari ? Pia kitabu cha Samuel kimezungumzia Samwel alipo amshwa na sauli wakati alishakufa ,kuna mambo mengi yapo ki code kwenye biblia mpaka uamke ndio utapa ufahamu nayo.Sasa mkuu wakati Yohana alipouliwa ulikufa mwili tu na sio roho right?
That’s means roho ilirudi kwa Elia?
Umesoma hiyo mistari ? Pia kitabu cha Samuel kimezungumzia Samwel alipo amshwa na sauli wakati alishakufa ,kuna mambo mengi yapo ki code kwenye biblia mpaka uamke ndio utapa ufahamu nayo.