Tukio limejirudia tena katika mazingira yaleyale, nikiwa na watu walewale huku tukizungumza maneno yaleyale

Tukio limejirudia tena katika mazingira yaleyale, nikiwa na watu walewale huku tukizungumza maneno yaleyale

Hyo inaitwa "DEJAVU"
kimsingi sisi binadamu tuna nafsi ambazo zishawahi kuishi kabla hatujapewa hii miili. Kwa hyo mfano ww unaweza kuta mwili wako una nafsi ambayo hapo kabla ishawahi kuishi hayo maeneo unayopitia,, then yule alokuwa anamiliki hyo nafsi akafa, then hyo nafsi ikawekwa kwny mwili wako afu ndo ukazaliwa wewe wa saizi.
Nakumbuka jana Mshana jr, alilizungumzia hili kama nishati, ambayo haipotei hata mtu akifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Ulimwengu huu Wanadamu tuna nafasi ya kuishi katika Roho na Mwili pia unapokuwa katika Roho actively(sababu Ulimwengu huu ndio unatangulia mbele ya muda wa maisha yetu ya mwilini) basi unaweza itumia sehemu wengi waniita Six sense ambayo utaona vitu vinavyokuja mbele Yako au Matukio fulani (njia unazotumia kuona)

1.Ndoto

2.Maono au Mawazo Picha hasa dk chache unapotumia Meditate au kabla hujapata usingizi Picha gani zinakuja katika akili Yako.

3. Au muda mwingine akili(Ubongo) ina ku trek tu sbb kubwa inapotokea imeji-condition na Mazingira fulani na yanapotokea Mazingira hayo basi itarespond kama ilivyoji-condition nje na utambuzi wa nafsi yako
 
Kiukweli hata Mimi kuna mda hali inanikuta najihisi Mimi siyo Mimi,kwamba Mimi ni mtu mwingine kunasehemu nishawahi kutokea.
 
Hii inatokea sana,kuna muda unabaki unashangaa yani kitu kama kimejirudia vile,piq kuna ile unaota upo sehemu fulani,kuna siku ukifika hilo eneo ile ndoto unaikumbuka na eneo husika unaliona live.

Anyway tuishi tu hiizi siri kubwa ambazo ni ngumu kuzijua,hivi ulikua wapi kabla hujazaliwa na unaenda wapi baada ya kufa?
Hayo ni mwmbo fikirishi sana
 
Msaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka...
Mi ndo nikiota ni for the future event....nilichoota mwez huu nitakuja fanya mwez mwingine...then nakumbuka kuwa hii kitu nishawahi ota
 
Hayo ni majini hayo muda mwingine yanakuongoza vizuri mm zamani yalikuwa yananisaidia mfano naweza sema nikipita mtaa huu nikipita nitaokota hela na kweli naokota hela katika Maisha imenitokea kama mara tatu sehemu ile ile niliyokuwa naiwaza nikiwa mdogo ila siku hizi huu upako sina [emoji16][emoji16]
Somehow..!
 
Mkuu, kwa maana hiyo, kumbe baada ya binadamu kufa, nafsi zetu haziendi mbinguni wala motoni, badala yake hutunzwa kwa ajili ya binadamu watakaozaliwa?

Maana yake maisha nitakayoyaishi yatafanana na yale ya aliyekuwepo enzi hizo? Hata na kifo alichokufa ndicho ambacho na mimi nitakufa? Hata umri alioishi?
Sio lazma uishi maisha aliyoishi yeye lakn kuna baadhi ya matukio yata collide. Mfano unaenda sehemu ngeni unakuta kama vile ushawahi kufika lakn hujawahi kufika. Hii ni kwa sabab mwili wako haujawahi kufika ila nafsi yako ishawahi kufika ikiwa kwny mwili mwngne kabla haijawekwa kwny mwili wako.
 
Msaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka

Inaanza uko maeneo fulani ukiwa na mtu fulani, wakati unamalizia mazungumzo, ndipo unakumbuka kuwa hayo maneno umewahi yatamka kabla. Hata eneo ulilopo ndilo lile lile, pia mtu unayezungumza naye ni yule yule au mtu anayeendana hobies na uliyozungumza naye mwanzoni

Au unapita mahali unakutana na tukio amabalo umewahi kukutana nalo kabla. Hata majibizano ya watu yanayoendelea ni yaleyale ya kipindi hicho. Unapojaribu kufungua mdomo kuzungumza, unajikuta unazungumza yale yale uliyowahi kuzungumza. Unabaki unashangaa tu

Hii hali husababishwa na nini wakuu?
Je, tukio la kwanza kabla, lilikuwa ni ndoto? Au liliwahi tokea kweli? Au ni mawenge tu? Au naumwa malaria? Maake sielewi hata limekuja vipi, yaani from nowhere

Nikijaribu kumuuliza huyo ninayezungumza naye kwamba haoni kama tunafanya marudio?, anaishia kusema nipunguze wenge au kucheka tu

Naombeni ufafanuzi wakuu
N.B: Situmii mihadarati
Punguza wenge wewe au kapime malaria.
 
What if napata dejavu nikiwa kwenye basi la mwendo kasi, mradi ulioanza kufanya lazi awamu ya tano 2015-2021. Na mimi nikiwa nimezaliwa miaka ya 70. Hapa huoni kama tafsiri yako inagoma. Ikiwa inamaana miaka nyuma ya 70 mradi uwo haukuwepo.
Mradi huo haukuwepo bongo ila sio duniani.
 
Hyo inaitwa "DEJAVU".

kimsingi sisi binadamu tuna nafsi ambazo zishawahi kuishi kabla hatujapewa hii miili. Kwa hyo mfano ww unaweza kuta mwili wako una nafsi ambayo hapo kabla ishawahi kuishi hayo maeneo unayopitia, then yule alokuwa anamiliki hyo nafsi akafa, then hyo nafsi ikawekwa kwny mwili wako afu ndo ukazaliwa wewe wa saizi.
Absolutely true.
 
Hii kitu ipo mkuu ata vitabu vyenu vya dini vimezungumzia sehemu nyingi tu, kuamka sio kwa kila mtu.
20230309_121050.jpg
20230309_121044.jpg
 
Hyo inaitwa "DEJAVU".

kimsingi sisi binadamu tuna nafsi ambazo zishawahi kuishi kabla hatujapewa hii miili. Kwa hyo mfano ww unaweza kuta mwili wako una nafsi ambayo hapo kabla ishawahi kuishi hayo maeneo unayopitia, then yule alokuwa anamiliki hyo nafsi akafa, then hyo nafsi ikawekwa kwny mwili wako afu ndo ukazaliwa wewe wa saizi.
Kuna Mwl wangu aliwahi kufundisha hii kitu 🙏
 
Back
Top Bottom