Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo hivyo tu mkuu.. Msishangae nikila 'red card' tena..The bold again.polee mkuu kifungo chako kimeisha salama?
Pole mkuu nishaelewa kila kitu.Mgongano wa maslahi mkuu.. Siwezi kusema zaidi.!
The king maker na WebsiteHivyo hivyo tu mkuu.. Msishangae nikila 'red card' tena..
Duuh,poleee mkuu.mkuu ukienda Roma jifanye mroma tuu ili mambo yaende.hope upepo huu utakuacha salamaa.Hivyo hivyo tu mkuu.. Msishangae nikila 'red card' tena..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]The king maker na Website
Correct me if am wrong
Ngoja niusake... Hata ukienda kwenye comment zako za zamani hauuoni??Nautafuta sana yan lkn siupat ukiuona nistue
Najitahidi mkuu.. TutafikaDuuh,poleee mkuu.mkuu ukienda Roma jifanye mroma tuu ili mambo yaende.hope upepo huu utakuacha salamaa.