Tukio moja la mwisho: Vikongwe majambazi waliotikisa dunia ya uhalifu

Tukio moja la mwisho: Vikongwe majambazi waliotikisa dunia ya uhalifu

kumbe hili tukio ni la juzi tu hapo...dah sidhani kama ujambazi utaisha .....nadhani majambazi bado wanazaliwa na wanakuja na mbinu mpya za hatari zaidi....enzi hizo walikuwa wanakaba kwa mashoka, bunduki na marungu lakini mbinu moya wanaiba pasipo kutoa jasho wala kudhuru mwili....ujambazi ni kazi nadhani kama kazi nyinginezo...ila ipo kwenye sekta isiyo rasimi
 
Aisee Jamaa amepotea kimauzauza lakini bado hajamfikia DB Cooper,
Na nadhani kwavile hii kesi bado ni mbichimbichi cuz tukio limefanyika juzi tu, mastermind anaweza kudakwa tu.... Salute The bold
 
nimesubiri story ya @the_king_maker kumbe jamaa ulipigwa ban,ulikosa nini @the_bold
 
watanikoma na hii maake bado hawajui napataga wap story ka hizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Siku wakijua umekwishaaaa
 
Kwa mara nyingine unauoasua moyo wangu...heshima kwako,ngoja na mimi nichukue tizi nikafanye yangu pale bot haaa haaa haa
Weweeeeee ohooooo,tusije tu kuletewa tanzia hapa
Hahahaaaaa
 
the bold huna matusi,dharau wala mada za kijinga sasa ililikuaje hadi upigwe ban?
mbona jf haiko fair
 
Mkuu karibu sana, tulikumiss sana, ila shemeji Cheupe alisimamia vizuri show.
 
basil mbaya kasababisha vizee vinaenda kumalizia uzee wao sero
 
Huyo Basil wameshindwa kuwajua ndugu jamaa wa karibu aliokuwa akiwasiliana nao, kama wenzake 7 wote wamekamatwa..means kuelekea kwenye tukio walikuwa wakiwasiliana na kukutana pia, ni vipi Basil aliweza kutoacha trace yeyote?
 
Back
Top Bottom